Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Dkt. Abbas afunga ndoa na Mamy Baby wa Clouds Media

Naona waporipori mnaandika msiyoyajua. Huyo Dr.Abbas ni bwana mdogo hana uzee wowote. Mtoto wa Mwananyamala amekulia huko.
Ni bwana mdogo sana.

Na kuna vidume kwa ugumu wa maisha vinaona wivu wanatamani wangepewa maku waolewe wao.
Bwana mdogo Dr Abbasi ana umri gani mkuu? Na hii ni ndoa yake ya kwanza?
 
Wanawake wa kiislamu ni watumwa sana kwenye mahusiano. Yaani binti mzuri Mke wa tatu! Ptyuuu uzinzi na
Uchafu tuuu
Tatizo liko wapi Kama vijana wenyewe hawataki kuwaoa, Bora wazee wawasitiri
 
Labda atamwachisha na kazi hapo mawinguni.

"Baba Totoo" naye lazima ni kigogo tu.
 
Yaani mimi nawaza nani alianza kumtongoza mwenzake...Jamani wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana...Sijui Dr alianzaje kukatongoza kale kabinti🤔🤔
 
Kwa Wakristo, kwenye ibada ya ndoa, kuna kipengele cha kuvikana pete ,na ni baada ya hizo pete kubarikiwa. Kwa wenzetu, kuna utaratibu gani kwenye kuvikana pete?
Waislamu hawavishani Pete mkuu,Ila wameiga kwa wakristo.
 
Back
Top Bottom