Dkt. Abbas na Msigwa lazima mazingira yenu ya kazi yawe magumu kufanya kazi na Nape Nnauye

Nape hajawahi kuwa muumini wa uhuru wa kujieleza, anachokifanya ni sawa na kupakua choo alichokinyea yeye tu
 

Sasa DKt Abbasi na Nape wanakutana wapi mbona wapo wizara tofuati? Halafu wapate shida gani kwa sababu hao wote kazi yao ni kufata maelekezo na kufata upepo unapo elekea hakuna mwenye msimamo wake hapo zaidi ya kuserve msimamo wa master...wote hao pamoja na Nape ni wafata mkumbo tuu
 
Sijui kama ni mtazamo wangu tu. Lakini toka kipindi cha mwendazake nilimuona Nape kama moja ya mawaziri walioziweza vizuri wizara zao, akiwemo Lukuvi, Dr. Mwinyi (Ulinzi)
 
Kwani hizo kazi wanafanya za nape au kwa mjibu wa taratibu na kanuni za wizara?
Pia ujue nape hakuwaajili, na ataondoka hiyo wizara atawaacha.
Sasa sijui kama unalijua hilo
 
Msigwa hawezi teseka jakaya ndio mtu wake sana toka akiwa TBC SONGEA
 
Mabwana au machawa wa Jiwe😀
 
Kuna makosa mengi kwenye post yako
  • Nape hakujiuzulu
  • Dr.Abbas hayupo chini ya wizara ya habari
Rekebisha ili ulete mantiki ya ulichokusudia
 
Nape anapenda kuwe na uhuru wa kujieleza? Hv ni umasikini wetu au ni uafrika unatufanya tunasahau Mambo mapema hvyo. Yaan jamaa atuzimie buñge leo tushasahau
 

Uko sahihi, lakini hakuna mtu makini anafuatilia kwa uhakika nafasi za hayo majizi ya kura kwa sasa. Mleta mada hajajikita sana kwenye nafasi zao za sasa, bali ni misimamo yao wakati wa yule kiongozi dhalimu, na sasa inapinduliwa kama sehemu ya kuwaproove wrong kwenye utawala wao wa kishetani.
 
Nape anapenda kuwe na uhuru wa kujieleza? Hv ni umasikini wetu au ni uafrika unatufanya tunasahau Mambo mapema hvyo. Yaan jamaa atuzimie buñge leo tushasahau

Kwa taarifa yako hakuna yoyote anayemsifia Nape maana unafiki wake unafahamika. Ila mleta uzi kajikita kuhusu hao akina Abbasi kwenye utawala wao kihayawani.
 
Nape hajawahi kujiuzuru uwaziri.

Ni vema kuweka kumbukumbu sawa kwenye hili.

So far, Gerson na Dr. Abasi hawana option zaidi ya ku-serve the new master who definitely serves the pleasure of the appointing authority.
Kwani hawawezi kumuiga Slow slow?
 
madikteta hayana nafasi kwenye ulimwengu uliostaraabika.
 
Labda useme wewe watakuelewa.Nape ameachia magazeti ya watu waliomshtaki Paul Makonda.Hii ni gharama ya kulipa kisasi si uhuru wa vyombo vya habari
Team roho mbaya mtakoma mwaka huu.
 
Mie mjinga mjinga naamini haya magazeti yamefunguliwa kuimarisha Chadema ili isaidie kuchafua Wagombea wa Ccm wasiotakiwa na mfumo kama ilivyokuwa kwa Ndugu Ngoyai 2007-2015
Duh!...yaani kuna Vita ya makundi huko Ccm?
 
Kokote alikojificha aondoke , huyu ni sehemu ya maharamia , hata wewe ni miongoni mwa mashetani yaliyo support kila unyama wa jiwe , hukutakiwa kuendelea kubaki jf
 
Mie mjinga mjinga naamini haya magazeti yamefunguliwa kuimarisha Chadema ili isaidie kuchafua Wagombea wa Ccm wasiotakiwa na mfumo kama ilivyokuwa kwa Ndugu Ngoyai 2007-2015
woga wenu tu
 
Nape pamoja na kuwa Siyo brilliant person but is a bit wise kumlinganisha na viongozi wengi vijana kama akina Mwigulu.
 

Binadamu hubadilikabadilika na mara nyingi mabadiliko hayo yanachochewa na sheria na utawala unaowasimamia; japo wengi wenye ubinafsi hubadilika kutokana na uhitaji wao. Kwahiyo katika kubadilika huko ndio unaweza kuujua umakini, uzalendo, ukweli na utu wao


Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…