Dkt. Abbas na Watendaji wengine mlioko Serikalini kama hatuna uhakika na Viingereza vyetu vya 'Ukubwani' na 'Uchochoroni' tutumie tu Kiswahili chetu

Hata kuandika tu hujui AKIKI kubwa ndio nini? hata hueleweki haya edit ulichoandika.Kuandika tu kiswahili kunakushinda .Umejifunzia kiswahili ukubwani? rekebisha hiyo AKIKI yako
Unapomnyooshea mwenzako kidole vingine unajinyoonyeshea mwenyewe. Nani aliikufundisha kuanza sentensi kwa herufi ndogo?

Amandla...
 
Vaa nduguyangu twende mbele, English is one of the simplest languages usimsikilize huyu Gentamycine.
Kiingereza kingekuwa rahisi huyo Katibu Mkuu wenu ( zamani Msemaji wa Serikali ) na Msomi wa Hadhi ya PhD ( tena ya Mawasiliano na Habari ) kingemshinda hivyo mpaka 'Kukikosea' na sasa tunamjadili hapa kwa Kujiaibisha na Kujichoresha vile?
 
Huyu mkenya yuko vizuri hukosoa statement nyingi za viongozi zikiwa na kiingerezza kibovu

Hapa alisahihisha statement ya Raisi wa Ghana

View attachment 1768510
Ana kuimpress wewe tu. Editing haina maana kuwa sentensi ya awali ina makosa bali inawezekana anae edit anaona imetumia maneno mengi bila sababu. Kila mtu ana style yake ya uandishi ndio raha ya lugha.

Amandla...
 
Vaa nduguyangu twende mbele, English is one of the simplest languages usimsikilize huyu Gentamycine.
I really appreciate your encouragement you have given to me.

I believe my efforts to improve my language competence and performance won't be in vain.
 

mkuu, umeamua kupoteza muda kiasi hiki??

jamii ya kitanzania 90% hawajui kiingereza, hata wanaodhani wanajuan hawajui

so why waste time kujadili kapatia au kakosea

Imagine kakosea sasa, SO WHAT?

Kuwa kama kakosea grammar unaondolewa ukatibu mkuu?

umesoma wapi?? TZ unafundishwa kwa kiingereza mna discuss kwa kiswahili,🤣🤣

Abbas anakuwa katika 90% ya wasiokifahamu, wala wana WASILIANA kwa hiyo lugha

Last time i checked, hata calfornia chelsea, sydney na Toronto wanakosea grammar kwenye kivuli cha 'common mistakes'

If this is your come back, tafuta Topic za maana au tulia kwanza
 
Kiingereza kingekuwa rahisi huyo Katibu Mkuu wenu ( zamani Msemaji wa Serikali ) na Msomi wa Hadhi ya PhD ( tena ya Mawasiliano na Habari ) kingemshinda hivyo mpaka 'Kukikosea' na sasa tunamjadili hapa kwa Kujiaibisha na Kujichoresha vile?
Kwani aliokuwa anaongea nao wanasemaje.
 
Cha msingi ni kuelewa msemaji anamaanisha nini

Wahindi kiswahili hawakijui vizuri lakini tunaelewana nao bila shida wakiongea

Cha msingi kueleweka tu unamaanisha nini mfano unaomba maji unaweza sema water bring

Hakuna haja ya kukesha ukikariri kunyoosha sentensi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…