Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

Shida ya kupeana madaraka ndo hii, enzi za JPM hakuwai kutokea huu ujinga na walikuwa wanasema anaua biashara ila biashara ziliendelea fanyika.
 
Waziri amesema wapo watu ambao wanatumia Uhuru wao wa kidemokrasia kuendelea na biashara na wapo ambao wamegoma kufungua ,kumlamu sana waziri katika hili sio kumendea haki sababu hakuwa eneo LA tukio ila walio MPA taarifa ndio inawezekana hawakumpa taarifa sahihi .Issue ya kuwa na functional unit serikalini ni muhimu sana kuondoa ukakasi kama ni nyekundu sema nyekundu kama ni nyeupe sema nyeupe . Mara nyingi mambo yakienda mrama lawama anabebeshwa mkubwa
 
Huyu Ashatu Kijaza na wenzake ni aina ya viongozi wanaoganya wananchi kuiona serikali kama kikundi cha waganga wa kienyeji au ka 'makanisa' ya akina Mackenzie
 
Hizi kodi za makadirio ndiyo zinatoa mwanya wa watumishi wa TRA kuchukua rushwa ambayo mida mwingine zinakuwa kubwa kuliko kodi zilizokadiliwa. Konteina moja lenye mizigo inayofanana mizigo iliyotoka sehemu moja lakini wafanyabishara wanalipa kodi tofauti. Wananchi wanaumia wanasiasa wanasifika mama anaupiga mwingi. Hali ni mbaya kwa kweli mtaani, wawakilishi wao wakiwasemea wanaonekana wanajiandaa na ubunge wa mwaka 25 ilimradi tafarani, chawa ndiyo wamekuwa watafiti wa uchumi, ndiyo maafisa jamii, chawa likiongelewa swala linalohusu jamii lakini linaigusa serikali basi watalidaka juu juu kwa kulikanusha kana kwamba hakuna kitu kinachoendelea, mambo ni shwari ila kinachoendelea ni wivu na wanaokiongea hawamtakii mema mh rais. Na wanamalizia na kauli yao. "Hali ni shwari, mama endelea kuupiga mwingi" wakati kiuhalisia hali ni mbaya mtaani.
 
Huyu Naibu Waziri hana Ofisi ambayo inaweza kumpa taarifa sahihi ?
Huyu Naibu Waziri hana hata mitandao ya Kijamii ?
Huyu Naibu Waziri yuko Tanzania au anaishi nje ya nchi ?
Huyu Naibu Waziri anajua anachokiongoza ?
 
Nilidhani hata kama hana taarifa angeomba walau dak 5 arejee na taarifa kutoka kwa wasaidizi instead amejibu holes shit kama anazungumzia habari ya Ng'ombe wake! Hafai....
 
Mama kapoa sana,et comedian Chalamila nae mkuu wa Mkoa Mhimu kwenye nchiii kama Dar..hahahhaa.Hivi mbona kuna vijana smart na committed Sanaa mtaanii mama kwaninii anang'ang'ana na wazee ambao hawana Cha kupoteza.
 
Kwa lile jibu lake tu asipotumbuliwa basi hatuna viongozi bali magarasa tu.

Habari za mgomo zilianza kwenda viral hata kabla ya siku ya jana ilikuaje yeye akawa mweupe kiasi kile
 
Nilidhani hata kama hana taarifa angeomba walau dak 5 arejee na taarifa kutoka kwa wasaidizi instead amejibu holes shit kama anazungumzia habari ya Ng'ombe wake! Hafai....
Yaani yule Waziri hayupo SERIOUS kabisa..lile jibu linaonyesha hana uwezo wa kuongoza ile Wizara..Yaani Wabunge wana information zaidi kuliko wewe?..kweli? ..kwa issue serious kama ya Kariakoo,kitovu cha UCHUMI wa nchi..HAFAI!
 
Back
Top Bottom