Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ohooo kaone et nako kanajiona kanaiweza sheria kuliko Lissu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila CCM kama alishinda ule uchaguzi dhidi ya Lowassa Mnamo mwaka 2015.
Mungu anawaona.
1. Ule umati wa lowassa,Jaman jaman Lowassa alikuwa anajaza mpaka sasa sijaona mgombea aliyefikia kujaza kule.
2. Alikuwa anaijua CCM..Na alitoa kauli kabisa anajua CCM wanapoweza shinda kwa bao la mkono..Yeye aka upgrage system zake.
Iwe huyu Mwanasheria aliyeshindwa kutafsiri Ibara ya 16 ya katiba yetu as amended from time to time.
Ingekuwa ni sheria kutangaza matokeo mapema..Naweza tangaza ushindi wa kishindo mapema kabisa kwa J.P.M
Wewe Nchi hiii tatu bora ya wanasheria wanaotembea na sheria kichwan... Utakuamo????
Sasa Lissu yumo ndani.