Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Kusema ukweli Upinzani tayari umekufa.Leo wameamia kwenye umati wakati kipindi kile walikuwa wanasema upinzani umekufa
ACT kwa sasa imeangukia pua huku bara.
CHADEMA kama chama tayari kimejifika.
-Hakuna viongozi ngazi ya serikali za mitaa.
- Wabunge na madiwani ndio kabisa wako very weak ni kama hakuna tu.
- Aliyebaki ni huyu mtafuta kiki za hapa na pale na kutrend bw. T. Antipas, Ila akija akaflight na kuenda zake..CHADEMA hawatakuwa na utofauti na hivi vyama vya kina mzee wa ubwabwa.