Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

Leo wameamia kwenye umati wakati kipindi kile walikuwa wanasema upinzani umekufa
Kusema ukweli Upinzani tayari umekufa.

ACT kwa sasa imeangukia pua huku bara.

CHADEMA kama chama tayari kimejifika.
-Hakuna viongozi ngazi ya serikali za mitaa.
- Wabunge na madiwani ndio kabisa wako very weak ni kama hakuna tu.

- Aliyebaki ni huyu mtafuta kiki za hapa na pale na kutrend bw. T. Antipas, Ila akija akaflight na kuenda zake..CHADEMA hawatakuwa na utofauti na hivi vyama vya kina mzee wa ubwabwa.
 
Ahaaa ahaaa, hao ndio walimuingiza mjini Magufuli na CCM yao academia, kuwa kampeni hizi atakuwa anapita anapungia tu. Tuendelee kuomba ukondoo wa watanzania a.k.a amani itamalaki. Kinyume na hapo ccm watacheka kichina kwenye box la kura.
Mtu mmoja ameweka chachu za kutosha katika uchaguzi huu. Jee wagombea Ubunge na Udiwani wamejipanga vya kutosha kusambaza injili?

Huko ardhini tunapata taarifa tofauti kiasi mpaka sasa kuna hati hati ya vigogo 7 kuangukia pua, although Kilindi tayari tumeweka kibindoni.

Labda Askari wa kukodiwa kisiasa waitwe kwa makundi wabadilishe fikra na matokea kwa wapiga kura.
 
1. Ule umati wa lowassa,Jaman jaman Lowassa alikuwa anajaza mpaka sasa sijaona mgombea aliyefikia kujaza kule.
Nyomi ya Lowassa iliizidi kidoogo nyomi ya Lyatonga Mrema mwaka 1995 ila kwenye chaguzi zote hizo CCM waliprevail na kufanikiwa kutangazwa washindi bila kelele wala jasho.

Hawa watu kwa mbinu wanaongoza Africa Mashariki na kati. Anayeamini kwamba Lissu atatangazwa kwa kuwa tu "anajaza watu sana" either anajidanganya mwenyewe au ni mtoto na hakumbuki nini kilitokea mwaka 2015 na definitely hakuwepo mwaka 1995.

NEC ikibaki hivi ilivyo huku ikiendelea kuwa part & parcel ya TISS/JWTZ, ni ndoto kufanya mabadiliko ya Kiongozi Mkuu wa Nchi.
 
Cdm watajuta kukubali Lissu awe mgombea, kawaharibia wenzake wanaogombea ubunge, Mbowe hoi, Lema hoi, Sugu hoi, Msigwa hoi, Wenje hoi, Bulaya hoi, Mdee hoi(siauti yake ya zege imegeuka kuwa urojo), Matiko hoi, kila mgombea ubunge wa CHADEMA ni hoi, hoi,hoi, kwa kwenda mbele. Nimekumbuka Mwakajoko alianza kwa mbwembwe na mikwara miingi sasa kawa hoi. Mnyika aliona mbali mapema. Watajuta kupitisha mropokaji Lissu kuwa mgombea urais. Uropojaji wake safari hii unaenda kuwagharimu na kuumiza wengi ndani ya cdm.

Baada ya cdm kushindwa uchaguzi 28/10 washauriwe kubadili uongozi ndani ya chama waje watu wapya wenye mawazo napya. Wakina Mbowe,Lissu na wengine wa sasa wamepitwa na wakati. Damu mpya iingie kuja kukiongoza chama.
 
Nyomi ya Lowassa iliizidi kidoogo nyomi ya Lyatonga Mrema mwaka 1995 ila kwenye chaguzi zote hizo CCM waliprevail na kufanikiwa kutangazwa washindi bila kelele wala jasho.

Hawa watu kwa mbinu wanaongoza Africa Mashariki na kati. Anayeamini kwamba Lissu atatangazwa kwa kuwa tu "anajaza watu sana" either anajidanganya mwenyewe au ni mtoto na hakumbuki nini kilitokea mwaka 2015 na definitely hakuwepo mwaka 2015.

NEC ikibaki hivi ilivyo huku ikiendelea kuwa part & parcel ya TISS/JWTZ, ni ndoto kufanya mabadiliko ya Kiongozi Mkuu wa Nchi.
Absolutely true. Mkuu!
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.

Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
....... Kwa kuiba kura sawa hata mimi nakubali!!
 



Hadi kieleweke ... ..... ... Hapa kazi tu​
 
Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.

Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.

Source: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Wamejiandaa
Screenshot_20201015-203147.jpg
 
Vingekuwa dhaifu wasingeng’ang’ani TBC wasingekuwa wanatumia polis NECCCM kuvihujumu ACT na chadema
 
Na ndiyo maana Bashiru na Polepole wameifikisha CCM hapa ilipo na kumpa wakati mgumu mgombea wao ,kwa kijifanya CCM mpya.
Kutoka chama Tawala hadi kuwa chama cha fiesta na mabango
Bashiru na Polepole wangempata Mgombea wa Upinzani legelege wangejisifu sana ila sio kwa Tundu Lissu Lissu ni level nyingine

Lissu anapiga kampeni za Kijiji kwa Kijiji haijawahi kutokea
 

1602786747635.png


THE banking sector remained sound, stable and resilient in the last five years thanks to the prudent supervision of the financial sector, Bank of Tanzania (BoT) said yesterday.

Tuna kazi moja tu kuivusha hii nchi kutoka hapa tulipo kwenda mbele zaidi.
 
Labda kipofu ndiye anayeweza kukubaliana na hilo!
Wanatumia Polisi kupiga wapinzani wametuma watu kurusha mawe kule chato kama ni dhaifu iweje washinde wakibuni mbinu za kuvihujumu vyama vya upinzani?
 
Back
Top Bottom