Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

Anatetea ugali tu! Anajua tume huru ikiwepo nini kitatokea
 
Wewe mleta maada haya hayawezi kuwa ni maneno kutoka kwa Dr. Bashiru. Hawezi kuwa na kauli ya kitoto kwa kiwango cha chini kabisa. Otherwise you have essentially misquoted him for sure....
 
Unaposifia chama kiko imara huku wagombea udiwani tu makao makuu wanagombana sijui unatumia upeo gani wa kufikiri?
 

Haya ndiyo maneno anayopewaga mgombea urais, kwamba hakuna ushindani, umeshashinda mzee!. Halafu akiingia mtaani anashangaa na kuona hali ni tofauti na alichoambiwa. Yaani watu wanajaza mikutano bila hata fiesta kuwepo.
 
Mbona anajibu huku akitetemeka?
 
Kama ni wadhaifu kwanini kuwawekea vigingi viiingi. Wekeni uwanja sawa ndio tutajua ni wadhaifu au laah. CCM inatumia TV ya Taifa Mwanzo mwisho. Bado hizo binafsi zote ziko kwao mabango ya kila aina. Bado unajisifu! Wavipe uhuru vyombo vya habari vitangaze vyama vyote kwa usawa ndio tutajua dhaifu ni nani
 
Bashiru ni mpumbavu na anatoa kauli tata za kijinga mno.
 
Kama Bashiru boya, Mbowe na genge lake watakuwa nini kama sio utopolo wa kutupa.
Bashiru ni Dr, binafsi nakiri ni mtu niliyekuwa napenda sana kumsikiliza, alikuwa objective linapokuja swala la nchi na siasa za nchi. Kwasasa huwezi kunikalisha chini nimsikilize huwezi kupata kitu cha kustawisha ubongo kwenye speech yake yoyote tangu ahamie CCM. Mbowe Hana elimu ya Bashiru lakini kumlinganisha na Bashiru hujatenda haki. Mambo anayoongea Bashiru Sasa hivi hata mbunge wa Mtera with instructions can do much better.
 
#NIYEYE2020
 
Hali ni Mbaya huko upinzani chama kimoja kimoja kinajisalimisha chenyewe.

Membe kapigwa za uso na kiongozi wake ambaye kaamua kumpigia kura mgombea wa Chama Kingine.

Lissu naye hauziki anaonekana msaliti na wananchi.

Hali Imekuwa si hali mpaka tarehe 28 tunaona mengi toka upinzani huu dhaifu.
 
Naunga mkono hoja
 
Tofauti ya Lowassa na Lissu ni kwamba Lissu anaenda vitongojini kufuata watu..kwa siku mikutano hadi sita..Lowassa alikuwa anaenda makao makuu ya mkoa anahutubia dk 6...
 
Jifunzeni Kenya Mataga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…