Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatetea ugali tu! Anajua tume huru ikiwepo nini kitatokea
Wewe mleta maada haya hayawezi kuwa ni maneno kutoka kwa Dr. Bashiru. Hawezi kuwa na kauli ya kitoto kwa kiwango cha chini kabisa. Otherwise you have essentially misquoted him for sure....MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?
BASHIRU: Ni ushindi mkubwa sana, unajua mwaka huu tumeshindana na vyama dhaifu kuliko wakati wote. Sasa vyama dhaifu hata vingekuwa na wagombea wazuri lazima pia utendaji wao uendane na uwezo wa vyama vyao kwa hiyo mwaka huu ukilinganisha na mwaka 2015 tumeshindana na vyama dhaifu.
Kwa mfano ACT ni chama kipya, chama kilichokuwa na mbunge mmoja wa Kigoma mjini na halmashauri moja, hakikuwa na muwakilishi hata mmoja Zanzibar wala mbunge Zanzibar.
Kimesimamisha mgombea wa Muungano ambae sijui amepotelea wapi, namtafuta sijui yuko wapi? Ningekuwa ndie katibu wake mkuu ningeshaenda polisi, sasa hao ndio tunaoshindana nao.
Wengine ambao wanajikakamua vyama ni dhaifu, kulikuwa na chama ambacho kilikuwa kidogo kimejiimarisha cha CHADEMA lakini kilikuwa na washauri wazuri waliokipa ushindi, wakina mzee Lowassa, mzee Sumaye wako CCM, wako majukwaani wanakitafutia kura.
Kwa hiyo mwaka huu tutegemee matokeo na ushindi ni mkubwa kuliko ilivyowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi kwa hiyo tunashindana na vyama dhaifu, vyama vilivyogawanyika, vyama vipya.
Sisi ni chama kikongwe, chama imara, chama ambacho kina umoja zaidi na kinachotupa nguvu ni kwamba mwaka huu hatuna migogoro ndani ya chama, tumeshikamana na hiyo umeiona wakati tunateuana.
MWANDISHI: Kati ya wagombea kuna mgombea gani tishio?
BASHIRU: Hakuna tishio hata mmoja, nimeshakwambia kwamba vyama vyote ni vipya na vyama vyote ni dhaifu kwa hiyo hatuna mgombea tishio
Unaposifia chama kiko imara huku wagombea udiwani tu makao makuu wanagombana sijui unatumia upeo gani wa kufikiri?MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?
BASHIRU: Ni ushindi mkubwa sana, unajua mwaka huu tumeshindana na vyama dhaifu kuliko wakati wote. Sasa vyama dhaifu hata vingekuwa na wagombea wazuri lazima pia utendaji wao uendane na uwezo wa vyama vyao kwa hiyo mwaka huu ukilinganisha na mwaka 2015 tumeshindana na vyama dhaifu.
Kwa mfano ACT ni chama kipya, chama kilichokuwa na mbunge mmoja wa Kigoma mjini na halmashauri moja, hakikuwa na muwakilishi hata mmoja Zanzibar wala mbunge Zanzibar.
Kimesimamisha mgombea wa Muungano ambae sijui amepotelea wapi, namtafuta sijui yuko wapi? Ningekuwa ndie katibu wake mkuu ningeshaenda polisi, sasa hao ndio tunaoshindana nao.
Wengine ambao wanajikakamua vyama ni dhaifu, kulikuwa na chama ambacho kilikuwa kidogo kimejiimarisha cha CHADEMA lakini kilikuwa na washauri wazuri waliokipa ushindi, wakina mzee Lowassa, mzee Sumaye wako CCM, wako majukwaani wanakitafutia kura.
Kwa hiyo mwaka huu tutegemee matokeo na ushindi ni mkubwa kuliko ilivyowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi kwa hiyo tunashindana na vyama dhaifu, vyama vilivyogawanyika, vyama vipya.
Sisi ni chama kikongwe, chama imara, chama ambacho kina umoja zaidi na kinachotupa nguvu ni kwamba mwaka huu hatuna migogoro ndani ya chama, tumeshikamana na hiyo umeiona wakati tunateuana.
MWANDISHI: Kati ya wagombea kuna mgombea gani tishio?
BASHIRU: Hakuna tishio hata mmoja, nimeshakwambia kwamba vyama vyote ni vipya na vyama vyote ni dhaifu kwa hiyo hatuna mgombea tishio
MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?

Mbona anajibu huku akitetemeka?MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?

Kama ni wadhaifu kwanini kuwawekea vigingi viiingi. Wekeni uwanja sawa ndio tutajua ni wadhaifu au laah. CCM inatumia TV ya Taifa Mwanzo mwisho. Bado hizo binafsi zote ziko kwao mabango ya kila aina. Bado unajisifu! Wavipe uhuru vyombo vya habari vitangaze vyama vyote kwa usawa ndio tutajua dhaifu ni naniMWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?
BASHIRU: Ni ushindi mkubwa sana, unajua mwaka huu tumeshindana na vyama dhaifu kuliko wakati wote. Sasa vyama dhaifu hata vingekuwa na wagombea wazuri lazima pia utendaji wao uendane na uwezo wa vyama vyao kwa hiyo mwaka huu ukilinganisha na mwaka 2015 tumeshindana na vyama dhaifu.
Kwa mfano ACT ni chama kipya, chama kilichokuwa na mbunge mmoja wa Kigoma mjini na halmashauri moja, hakikuwa na muwakilishi hata mmoja Zanzibar wala mbunge Zanzibar.
Kimesimamisha mgombea wa Muungano ambae sijui amepotelea wapi, namtafuta sijui yuko wapi? Ningekuwa ndie katibu wake mkuu ningeshaenda polisi, sasa hao ndio tunaoshindana nao.
Wengine ambao wanajikakamua vyama ni dhaifu, kulikuwa na chama ambacho kilikuwa kidogo kimejiimarisha cha CHADEMA lakini kilikuwa na washauri wazuri waliokipa ushindi, wakina mzee Lowassa, mzee Sumaye wako CCM, wako majukwaani wanakitafutia kura.
Kwa hiyo mwaka huu tutegemee matokeo na ushindi ni mkubwa kuliko ilivyowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi kwa hiyo tunashindana na vyama dhaifu, vyama vilivyogawanyika, vyama vipya.
Sisi ni chama kikongwe, chama imara, chama ambacho kina umoja zaidi na kinachotupa nguvu ni kwamba mwaka huu hatuna migogoro ndani ya chama, tumeshikamana na hiyo umeiona wakati tunateuana.
MWANDISHI: Kati ya wagombea kuna mgombea gani tishio?
BASHIRU: Hakuna tishio hata mmoja, nimeshakwambia kwamba vyama vyote ni vipya na vyama vyote ni dhaifu kwa hiyo hatuna mgombea tishio
Umwite boya baada ya matokeo ya kura kutangazwaHuyu jamaa nilikuwa najua ni mtu mwenye akili timamu kumbe ni boya kabisa.
Bashiru ni mpumbavu na anatoa kauli tata za kijinga mno.MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?
BASHIRU: Ni ushindi mkubwa sana, unajua mwaka huu tumeshindana na vyama dhaifu kuliko wakati wote. Sasa vyama dhaifu hata vingekuwa na wagombea wazuri lazima pia utendaji wao uendane na uwezo wa vyama vyao kwa hiyo mwaka huu ukilinganisha na mwaka 2015 tumeshindana na vyama dhaifu.
Kwa mfano ACT ni chama kipya, chama kilichokuwa na mbunge mmoja wa Kigoma mjini na halmashauri moja, hakikuwa na muwakilishi hata mmoja Zanzibar wala mbunge Zanzibar.
Kimesimamisha mgombea wa Muungano ambae sijui amepotelea wapi, namtafuta sijui yuko wapi? Ningekuwa ndie katibu wake mkuu ningeshaenda polisi, sasa hao ndio tunaoshindana nao.
Wengine ambao wanajikakamua vyama ni dhaifu, kulikuwa na chama ambacho kilikuwa kidogo kimejiimarisha cha CHADEMA lakini kilikuwa na washauri wazuri waliokipa ushindi, wakina mzee Lowassa, mzee Sumaye wako CCM, wako majukwaani wanakitafutia kura.
Kwa hiyo mwaka huu tutegemee matokeo na ushindi ni mkubwa kuliko ilivyowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi kwa hiyo tunashindana na vyama dhaifu, vyama vilivyogawanyika, vyama vipya.
Sisi ni chama kikongwe, chama imara, chama ambacho kina umoja zaidi na kinachotupa nguvu ni kwamba mwaka huu hatuna migogoro ndani ya chama, tumeshikamana na hiyo umeiona wakati tunateuana.
MWANDISHI: Kati ya wagombea kuna mgombea gani tishio?
BASHIRU: Hakuna tishio hata mmoja, nimeshakwambia kwamba vyama vyote ni vipya na vyama vyote ni dhaifu kwa hiyo hatuna mgombea tishio
Bashiru ni Dr, binafsi nakiri ni mtu niliyekuwa napenda sana kumsikiliza, alikuwa objective linapokuja swala la nchi na siasa za nchi. Kwasasa huwezi kunikalisha chini nimsikilize huwezi kupata kitu cha kustawisha ubongo kwenye speech yake yoyote tangu ahamie CCM. Mbowe Hana elimu ya Bashiru lakini kumlinganisha na Bashiru hujatenda haki. Mambo anayoongea Bashiru Sasa hivi hata mbunge wa Mtera with instructions can do much better.Kama Bashiru boya, Mbowe na genge lake watakuwa nini kama sio utopolo wa kutupa.
#NIYEYE2020MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?
BASHIRU: Ni ushindi mkubwa sana, unajua mwaka huu tumeshindana na vyama dhaifu kuliko wakati wote. Sasa vyama dhaifu hata vingekuwa na wagombea wazuri lazima pia utendaji wao uendane na uwezo wa vyama vyao kwa hiyo mwaka huu ukilinganisha na mwaka 2015 tumeshindana na vyama dhaifu.
Kwa mfano ACT ni chama kipya, chama kilichokuwa na mbunge mmoja wa Kigoma mjini na halmashauri moja, hakikuwa na muwakilishi hata mmoja Zanzibar wala mbunge Zanzibar.
Kimesimamisha mgombea wa Muungano ambae sijui amepotelea wapi, namtafuta sijui yuko wapi? Ningekuwa ndie katibu wake mkuu ningeshaenda polisi, sasa hao ndio tunaoshindana nao.
Wengine ambao wanajikakamua vyama ni dhaifu, kulikuwa na chama ambacho kilikuwa kidogo kimejiimarisha cha CHADEMA lakini kilikuwa na washauri wazuri waliokipa ushindi, wakina mzee Lowassa, mzee Sumaye wako CCM, wako majukwaani wanakitafutia kura.
Kwa hiyo mwaka huu tutegemee matokeo na ushindi ni mkubwa kuliko ilivyowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi kwa hiyo tunashindana na vyama dhaifu, vyama vilivyogawanyika, vyama vipya.
Sisi ni chama kikongwe, chama imara, chama ambacho kina umoja zaidi na kinachotupa nguvu ni kwamba mwaka huu hatuna migogoro ndani ya chama, tumeshikamana na hiyo umeiona wakati tunateuana.
MWANDISHI: Kati ya wagombea kuna mgombea gani tishio?
BASHIRU: Hakuna tishio hata mmoja, nimeshakwambia kwamba vyama vyote ni vipya na vyama vyote ni dhaifu kwa hiyo hatuna mgombea tishio
Mkuu ukisoma Tena utajua nilichomaanishaBashiru yupo Chadema mkuu?
Naunga mkono hojaKatibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.
Chanzo: ITV habari
------
MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?
BASHIRU: Ni ushindi mkubwa sana, unajua mwaka huu tumeshindana na vyama dhaifu kuliko wakati wote. Sasa vyama dhaifu hata vingekuwa na wagombea wazuri lazima pia utendaji wao uendane na uwezo wa vyama vyao kwa hiyo mwaka huu ukilinganisha na mwaka 2015 tumeshindana na vyama dhaifu.
Kwa mfano ACT ni chama kipya, chama kilichokuwa na mbunge mmoja wa Kigoma mjini na halmashauri moja, hakikuwa na muwakilishi hata mmoja Zanzibar wala mbunge Zanzibar.
Kimesimamisha mgombea wa Muungano ambae sijui amepotelea wapi, namtafuta sijui yuko wapi? Ningekuwa ndie katibu wake mkuu ningeshaenda polisi, sasa hao ndio tunaoshindana nao.
Wengine ambao wanajikakamua vyama ni dhaifu, kulikuwa na chama ambacho kilikuwa kidogo kimejiimarisha cha CHADEMA lakini kilikuwa na washauri wazuri waliokipa ushindi, wakina mzee Lowassa, mzee Sumaye wako CCM, wako majukwaani wanakitafutia kura.
Kwa hiyo mwaka huu tutegemee matokeo na ushindi ni mkubwa kuliko ilivyowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi kwa hiyo tunashindana na vyama dhaifu, vyama vilivyogawanyika, vyama vipya.
Sisi ni chama kikongwe, chama imara, chama ambacho kina umoja zaidi na kinachotupa nguvu ni kwamba mwaka huu hatuna migogoro ndani ya chama, tumeshikamana na hiyo umeiona wakati tunateuana.
MWANDISHI: Kati ya wagombea kuna mgombea gani tishio?
BASHIRU: Hakuna tishio hata mmoja, nimeshakwambia kwamba vyama vyote ni vipya na vyama vyote ni dhaifu kwa hiyo hatuna mgombea tishio
Tofauti ya Lowassa na Lissu ni kwamba Lissu anaenda vitongojini kufuata watu..kwa siku mikutano hadi sita..Lowassa alikuwa anaenda makao makuu ya mkoa anahutubia dk 6...Ila CCM kama alishinda ule uchaguzi dhidi ya Lowassa Mnamo mwaka 2015.
Mungu anawaona.
1. Ule umati wa lowassa, jaman jaman Lowassa alikuwa anajaza mpaka sasa sijaona mgombea aliyefikia kujaza kule.
2. Alikuwa anaijua CCM. Na alitoa kauli kabisa anajua CCM wanapoweza shinda kwa bao la mkono..Yeye aka upgrage system zake.
Iwe huyu Mwanasheria aliyeshindwa kutafsiri Ibara ya 16 ya katiba yetu as amended from time to time.
Ingekuwa ni sheria kutangaza matokeo mapema. Naweza tangaza ushindi wa kishindo mapema kabisa kwa J.P.M
Hali ni Mbaya huko upinzani chama kimoja kimoja kinajisalimisha chenyewe.
Membe kapigwa za uso na kiongozi wake ambaye kaamua kumpigia kura mgombea wa Chama Kingine.
Lissu naye hauziki anaonekana msaliti na wananchi.
Hali Imekuwa si hali mpaka tarehe 28 tunaona mengi toka upinzani huu dhaifu.