Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

Huyu Bashiru ni moja kati ya watu waliochangia anguko la CCM kwa kiasi kikubwa, nafasi aliyopewa imemshinda kabisa, hana impact yoyote kwenye chama zaidi ya kumdanganya mwenyekit
Kinana ALikuwa Smart sana; Yaan Sana, Hata zile route zake za kuzunguka Tz nzima ndio ilisaidia sana Mhesshimiwa Raisi Magufuli kushika Dola tena; Maana Imani ya chama ilirudi kwa wananchi; Sasa ivi naona imani imeshuka. Japo ushindi upo.
 
Bashiru amefeli sana, naamini baada tu ya uchaguzi mkuu wa kaya atamoiga spana moja matata
 
Kabisa, Ili Abaki inabidi mzee ashinde kwa angalau asilimia 70+; Kinyume na hapo uwezekano wa bashiru kupigwa chini ni Mkubwa; Nadhani Bashiru uwezo mdogo compared tu makatibu wote waliowahi kuwa CCM. Mbaya zaidi yeye amekuwa kwenye zama hizi za mwamko wa wananchi kipindi hichi cha mabadiliko ya Science na Techno.
 
MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?

BASHIRU: Ni ushindi mkubwa sana, unajua mwaka huu tumeshindana na vyama dhaifu kuliko wakati wote. Sasa vyama dhaifu hata vingekuwa na wagombea wazuri lazima pia utendaji wao uendane na uwezo wa vyama vyao kwa hiyo mwaka huu ukilinganisha na mwaka 2015 tumeshindana na vyama dhaifu.

Kwa mfano ACT ni chama kipya, chama kilichokuwa na mbunge mmoja wa Kigoma mjini na halmashauri moja, hakikuwa na muwakilishi hata mmoja Zanzibar wala mbunge Zanzibar.

Kimesimamisha mgombea wa Muungano ambae sijui amepotelea wapi, namtafuta sijui yuko wapi? Ningekuwa ndie katibu wake mkuu ningeshaenda polisi, sasa hao ndio tunaoshindana nao.

Wengine ambao wanajikakamua vyama ni dhaifu, kulikuwa na chama ambacho kilikuwa kidogo kimejiimarisha cha CHADEMA lakini kilikuwa na washauri wazuri waliokipa ushindi, wakina mzee Lowassa, mzee Sumaye wako CCM, wako majukwaani wanakitafutia kura.

Kwa hiyo mwaka huu tutegemee matokeo na ushindi ni mkubwa kuliko ilivyowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi kwa hiyo tunashindana na vyama dhaifu, vyama vilivyogawanyika, vyama vipya.

Sisi ni chama kikongwe, chama imara, chama ambacho kina umoja zaidi na kinachotupa nguvu ni kwamba mwaka huu hatuna migogoro ndani ya chama, tumeshikamana na hiyo umeiona wakati tunateuana.

MWANDISHI: Kati ya wagombea kuna mgombea gani tishio?

BASHIRU: Hakuna tishio hata mmoja, nimeshakwambia kwamba vyama vyote ni vipya na vyama vyote ni dhaifu kwa hiyo hatuna mgombea tishio
Ulimwangalia kwenye Uso wake wakati akiyasema hayo?
 
Huyu jamaa nilikuwa najua ni mtu mwenye akili timamu kumbe ni boya kabisa.
Alipokuwa Cuf alikuwa ni Dr Bashiru kweli, lakini tangu amejiunga na kundi la matapeli wa ccm basi amebaki kuwa kakuru muuza ndizi wa majalalani.
 
Ni kweli ni vyama vipya vyote
mfano 2015 Chadema ilionekana ina nguvu mno lakini ni kwa sababu kwanza ilibebwa na wanasiasa nguli mobilizers akina Slaa,Lowasa na Sumaye na Profesa Baregu ambao walikipaisha hadi kufikia kukubalika na vyama vyote vya upinzani na kuweza kuviunganisha kwenye UKAWA hivyo kukifanya CHADEMA kiwe kama chama cha kitaifa kwa muda.

Chadema kilvutia wanasiasa mahiri toka vyama vyote vikubwa iwe CCM,CUF nk

Pia kilikuwa na mvuto mkubwa kwa makundi makubwa muhimu katika jamii kama viongozi wakuu wa kidini na waumini wao wa dini kubwa

Pia makundi makubwa ya wafanyabiashara wakubwa walikiunga mkono
Mafisadi yalijazana Chadema

Vita ya ufisadi iliwabeba sana kuliko kawaida lakini walipowapokea mafisadi CHadema ikapoteza mwelekeo agenda kuu ya kuweka raisi ilikuwa kupambana na ufisadi sasa hivi agenda yao ni weka Lisu ambayo ni very weak agenda!!! Ile ya pambana na ufisadi ilikuwa imetulia ndio maana iliungwa mkono na watu wa rika zote tofauti na Chadema ya sasa yenye mikutano inayojaa vijana wadogo watupu ambao ndio wamefikisha umri wa kupiga kura sasa hivi na ambao wengi hawana vitambulisho vya kupiga kura huenda tu kuangalia matukio

CHADEMA si tu ni chama kipya bali kina washabiki wapya vijana wapya ambao 2015 walikuwa hawajafikia umri wa kupiga kura.Ukiona watu watu wazima ujue ni viongozi wa chadema wa mashina au ofisi zake

UKAWA baada ya Chadema kuusambaratisha mhanga namba moja amekuwa CHADEMA.Dar es salaam na mikoa ya pwani vyama vyenye nguvu kubwa sana ni CCM,CUF na ACT wazalendo.Chadema UKAWA waliwachukua CUF wakaiteka DAR KUVUNJIKA UKAWA tumeona uzinduzi wa CHADEMA ulivyododa.Kwa hiyo DAR NZIMA SAFARI HII CHADEMA inafungishwa virago,CUF virago na ACT wazalendo virago sababu UKAWA haupo tena

Sasa hivi yale makundi makubwa yaliyoondoka na Sumaye na LOWASA na Dk SLAA yako CCM YANASUBIRI tarehe 28 october yawaonyeshe Cha mtema kuni CHADEMA KWA HASIRA kwa kuwafukuza watu wao akina SLAA (Bababti) Sumaye (Manyara) Lowasa (MONDULI +ARUSHA) na makundi yao waliyokuwa nayo walipokuwa CHADEMA

Huu uchaguzi mwepesi sababu wagombea ni sura mpya zinazotafuta kura kwenye mgawanyiko mvunjiko wa UKAWA.WASHINDANE WAO KWA WAO KWANZA halafu ndio wageukie CCM ushindi hapo kwao hakuna.
 
Aisee kuna muda kama unaona huna point za uchaguzi bora ukae kimya. So hayo makundi yaliyoondoka na hao uliowataja ni kubwa kuliko vijana wadogo walioamua kuikubali CDM ambao kwa maelezo tako 2015 hawakuwa wamefikia umri wa kupiga kura?
So lowasa na sumaye wana wafuasi wengi kuliko wanachama wa CDM?
 
MWANDISHI: Baada ya kubaki siku 12 kuelekea uchaguzi mkuu, labda status ikoje kwa upande wa chama cha mapinduzi?

BASHIRU: Ni ushindi mkubwa sana, unajua mwaka huu tumeshindana na vyama dhaifu kuliko wakati wote. Sasa vyama dhaifu hata vingekuwa na wagombea wazuri lazima pia utendaji wao uendane na uwezo wa vyama vyao kwa hiyo mwaka huu ukilinganisha na mwaka 2015 tumeshindana na vyama dhaifu.

Kwa mfano ACT ni chama kipya, chama kilichokuwa na mbunge mmoja wa Kigoma mjini na halmashauri moja, hakikuwa na muwakilishi hata mmoja Zanzibar wala mbunge Zanzibar.

Kimesimamisha mgombea wa Muungano ambae sijui amepotelea wapi, namtafuta sijui yuko wapi? Ningekuwa ndie katibu wake mkuu ningeshaenda polisi, sasa hao ndio tunaoshindana nao.

Wengine ambao wanajikakamua vyama ni dhaifu, kulikuwa na chama ambacho kilikuwa kidogo kimejiimarisha cha CHADEMA lakini kilikuwa na washauri wazuri waliokipa ushindi, wakina mzee Lowassa, mzee Sumaye wako CCM, wako majukwaani wanakitafutia kura.

Kwa hiyo mwaka huu tutegemee matokeo na ushindi ni mkubwa kuliko ilivyowahi kutokea katika mfumo wa vyama vingi kwa hiyo tunashindana na vyama dhaifu, vyama vilivyogawanyika, vyama vipya.

Sisi ni chama kikongwe, chama imara, chama ambacho kina umoja zaidi na kinachotupa nguvu ni kwamba mwaka huu hatuna migogoro ndani ya chama, tumeshikamana na hiyo umeiona wakati tunateuana.

MWANDISHI: Kati ya wagombea kuna mgombea gani tishio?

BASHIRU: Hakuna tishio hata mmoja, nimeshakwambia kwamba vyama vyote ni vipya na vyama vyote ni dhaifu kwa hiyo hatuna mgombea tishio
Katika watuambao leo.hii ingekuwa mimi ndio mwenyekiti wa ccm ningewapiga chini ni huyu bashiru na polepole
 
Mchezo uliobakia kwa CCM ni kuwarubuni mawakala wa CDM kwa fedha..ikishindikana kuwateka usiku kuamkia siku ya kura. ... hili lipo noted na linashughulikiwa kikamilifu. Safari hii mtu hachomoki....
 
Back
Top Bottom