Mzee umeharibika ukubwaniMzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Mkuu kwani bodaboda tu ndio wanaotakiwa kupelekeawa habari kama hizi🤣🤣Story za kutunga hizi ndugai alikuwa mgonjwa toka mda af ndugai hana madhara walisha mdhibiti mda san wadanganye uko kijiweni kwenye bodaboda
Wasiwsi ndo akili. Sasa wewe sikia majan yanatikisika afu uamini ni upepo tu.Wasiwasi Wako Tu.....
Mkuu, ulipaniki hadi ukashindwa kumuuliza huyo mzee amezipataje hizo fununu?Leo nimempigia Ndugu mmoja mwana CCM kijini ni balozi Nampa pole na msiba anasema wamemaliza Ndugai ni mzee kijijini bush kweli kweli huyo balozi nyumba kumi vijijini ndani zimefikaje
NonsenseMzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Mkuu tunajaribu kuokoa tonge wenye hiana wasilituponyoe.Wana mtandao mbona mmekuwa wakali hivi?
Not true, Bashiru is safeSometimes it's true
Mkuu,Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Alexander Mahone on Scofield: ^He stopped running and started fighting back.^Killer akiamua kukutafuta atakupata tu..kwahyo mtoa mada achakudanganya uma.
Ila wakati mwingine nyie chadema acheni usengerema basi, eti "alipofika Dodoma;" kwani alikuwa wapi siku zote kama si Dodoma?!!! Kama mkeshindwa nrne na ule mchongo wenu wa tone tone basi tafuteni vitu vingine vya msingi vya kufanya.Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Hii michadema imeishiwa hoja kwa Sasa hivyo imebaki kurukia rukia mambo ya kijinga tu.Mkuu,
Ndugai kaumwa kapelekwa mpaka India kakaa miezi kibao, this is a matter of public record, afya yake ilikuwa na mgogoro kiasi akahitajika kwenda India na kulazwa kwa muda mrefu.
Unasemaje kuwa mpaka juzi alikuwa mzima wa afya?
Ulimpima afya yake juzi?
Du............ mutandawo!!!!Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.
Bado Ni Wasiwasi Wako Tu.....Wasiwsi ndo akili. Sasa wewe sikia majan yanatikisika afu uamini ni upepo tu.
Amekuwa shahidi wa mambo mengi na uzuri amefikia na Kukaa meza kuu, Just kama ilivo kwa ndugai na Polepole Hawa Close allies wa Chuma watakuwa hunted tu waishe Ili wasije Kudistrub equilibriumBashiru huyu aliyesema mwaka 2020 hawawezi shindwa uchaguzi ilihali wana-dola leo amekua saviour
Ugonjwa gani? Familia inakwambia alikuwa mzima wa afyaMsikuze mambo Ndugai hajakufa Kwa sumu ni ugonjwa umemuua
Hata Lissu aliposema kuna watu wanamfuatilia ilionekana kama drama ila mwishowe ikalambwa risasi 40Drama mongering
Kuna ujinga mwingi sana JF siku hizi.Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.