Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

Siku yake ikifika atakufa tu acha ujuaji wako wa kijinga kwahiyo nyie FBI wa kiTanzania miakili yenu inawatuma Ndugai ameuawa? Acha upuuzi wako usio na miguu wala kichwa
Kajipa jina kubwa kwaiyo ndio anajua kila kitu !!

watu wanakufa uwanjani wanacheza mpira na hajaguswa na mtu !!

waimbaji wanatumbuiza gafra anakata Moto !!

viongozi wakisiasa ivyo ivyo yupo Live anadondoka chini kifo ni jambo nyeti sana

ni ngumu kujua unakufa leo au kesho.
 
Utajiri wa mganga wa kienyeji huja pale jamii inapojawa na mafarakano. Hakuna kifo afrika ambacho utukufu anapewa Mungu moja kwa moja.

Tunazaliwa na hatia na tunakufa na hatia. Huwezi kusikia China au Japan ndugu wa marehemu wanagombea kuuzika mwili wake.

Waafrika tunarithishana nongwa na ubaya wa kila aina.
 
Ndugai alikuwa mgonjwa tu!!Then alikuwa fatigue wakati wakinyang'anyiro
 
Kumbe nae ni adui wa taifa!!!
 
Pole pole atataga mwaka huu
 
Ww jamaa bana, yaanj msukule wowote wa dhalimu magu unauita mzalendo.
 
Kumbe nae ni adui wa taifa,,,Acha utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…