Dkt. Bashiru, usomapo andiko hili mara moja hapo Msibani kwa Ndugai, chukua hatua mara moja za kulinda uhai wako

Wewe kama mfanyakazi wa eneo la afya hauamini kwamba unaweza kuamka mzima wa afya na ukafa ghafla kabla usiku haujafika?
 
Ndio maana mimi naona Polepole ni kama ananipigia kelele tu na press zake.
Wote ni wale wale tuu...huyo polepole anapiga poyoyo baada ya kipigwa chini kwenye system....Mrija wa Kula na kufyonza vinono ulivyoondolewa baada ya kifo cha JPM ndo kaanza kupayuka ..
 
Tanzania na majasusi wake

Huu ni unaibiwa pia?!
 
Watu wanakufa kwa ukimwi na pressure na kisukari then mnasema wameuliwa are you insanity ??
 
Mojawapo ya eneo tunakoachana wajenga hoja ni kujiaminisha tuko kwenye box moja la mrengo, imani na itikadi.
Ni vyema tukubari ukweli huu.
1. Kuna wasioamini tena katika nadharia ya uwepo wa Mungu, moto, adhabu wala laana!
Bali unaishi na kufa... baasi!
2. Kuna watu wameshazifanya nafsi kuwa butu.
Yani kuua au kuharibu, kudhulumu, kuhujumu wanachukulia ni kanuni muhim ya viumbe hai kuishi[survival of the fittest].
Hadi vizaz vyao vinaaminishwa ..usipowai kula utaliwa!
3. Kuna waliofikia kiwango cha juu kabsa cha ubinafsi kwamba kama mambo yao yanaenda basi kila kitu kiko sawa dunian.
Haijalishi hali ile itadumu kwa muda gani.
(Jiulize waliokuwa wanauza/ wanatumikisha watumwa walikuwa na nadharia gani kichwani)
4. Kuna watu hawadhibitiwi tena na mifumo ya kimila, kidini wala kisheria isipokuwa kama watavitumia kutekeleza hitaji na tamaa zao.
Ndiyo maana hizo nguvu haziwadhuru hata wahanga walie miongo yote!
5. Kuna watu wanapenda matokeo mazuri lakin kwa gharama za wengine.
Hapa hata sisi wanajeshi wa mtandaon tumo!
Ndo mana wasomi hawajawai kuwa msaada katika ukombozi wa nguvu.
Kwa sababu elimu huongeza tafakari thaman ya maisha, na hofu(risk assessment).
Msomi kiasili hugeuka mnyonyaji!
ZIngatia falsafa hizi katika kujikomboa iwe binafs au kijumuiya.
.....if you want peace start a war
......ukitaka kuinusuru nafsi yako sharti uipoteze
......Adui unayemmudu usimwachie Mungu/mungu wako.
.....ukitaka kumaliza tatizo kuwa sehem ya tatizo
.....ongeza falsafa yako.
Kuiga kizuri si ushamba:
uMkhonto weSizwe.
 
Acheni mambo ya ajabu, nimepoteza ndg,jamaa na marafiki kijijini ambapo si wanasiasa ila utaambiwa kalala amekutwa amekufa,usimpangie Mwenyezi Mungu namna ya kuchukua mja wake, hata mimi na wewe hiyo Oktoba uisemayo huenda tusiione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…