The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Imepenya hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23]Tozo ni Plane ya Sehemu ya Serikali ya awamu ya Tano,
Hata bajeti ya 2022/2023 ikibuma, mzigo atapewa marehemu.Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla.
Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023..
Wale watoa shutuma za tozo mtakuwa mumeipata hii.
Kwanza usipotoshe hakuna bajeti iliyobumaHata bajeti ya 2022/2023 ikibuma, mzigo atapewa marehemu.
Ni ajabu tozo zilizopitishwa June 2021, eti ni za marehemu.
Kujikomba kunazidi sasa. Mbona makusanyo ya December 2021, yaliyovunja rekodi mmesema ni ya Samia, why yenyewe sio ya marehemu. Acheni " upunguani"
Ndio mbona zigo la tozo anabebeshwa Samia na Mwigulu na kumuacha Mwendazake na Mpango?Kwani kuna anayebisha kuwa hii si sehemu ya awamu ya 5..?
Magu alikuwa ni k.. Sijui ni....Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla.
Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023..
Wale watoa shutuma za tozo mtakuwa mumeipata hii.
Unalo tayari bora utoe kuliko kumezea,ishaandikwa hiyo.Natamani nitoe lugha chafu,Eh Mwenyezi Mungu Nijaalie Uvumilivu
Wakina nani?Huyu mama wanamuona kama geresha tu
Aluziba nafasi ya Dr Mpango aliyeanzisha tozo.Msitutoe kwenye reli. Hivi Mwigilu, aliteuliwa na Mama au Mwenda kuzimu??
Akina Kimei ... na JobuWakina nani?
Ndio mbona zigo la tozo anabebeshwa Samia na Mwigulu na kumuacha Mwendazake na Mpango?