Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

Prof.Ndulu alikuwa mchumi mzuri lakini huyu mwanasheria wa Sasa ni kichomi

BOT inatakiwa kuongozwa na mchumi mwenye track record ya utendaji na uzoefu ; it does not matter hata kama ni mstaafu, mbona wenzetu waliofanikiwa wanawatumia sana wastaafu kwenye mambo yao ya fedha! Mkuu wa Federal reserve Powell na hata aliyemtangulia Yellen wote ni watu wenye uzoefu ambao huku kwetu tungewaita WASTAAFU!!! Tunao wachumi wazuri tu wa kiwango cha Ndullu hata kuzidi ambao hatuwatumii!!!
 
Ndio mbona zigo la tozo anabebeshwa Samia na Mwigulu na kumuacha Mwendazake na Mpango?
Magufuli awezi kuweka tozo za kianithi kwa masikini akaacha kukusanya pesa kwenye madini na resource ambazo mungy katupatia ,Tozo ni project ya team wahuni bin msoga
 
Watu hawaishiwi vituko. Lolote linaloonekana kuwa baya, ni la Magufuli. Lolote linaloonekana kuwa zuri basi ni la Samia......
So pathetic
Hiyo ni harufu ya mafii ya wahuni ......tokomeza wahuni popote uwaonapo ,mama kachagua kwenda na wahuni na kuwaacha wananchi na uzarendo
 
Magufuli awezi kuweka tozo za kianithi kwa masikini akaacha kukusanya pesa kwenye madini na resource ambazo mungy katupatia ,Tozo ni project ya team wahuni bin msoga
20,000 ya kulipisha wauza mboga eti Kitambulisho cha mjasiliamali aliweka nani?
 
Katika mambo ambayo Gavana wa BOT[ Benno Ndullu] alimshauri Jiwe ni athari za TOZO kwenye miamala kwa uchumi wa nchi; kuweka TOZO kenye miamala ya simu alisema haisaidii ukuaji wa uchumi kwasababu inawatenga wananchi wengi hasa wa vijijini kwenye ushiriki wa matumizi ya fedha [FINANCIAL INCLUSION} !! Mpango alikuwepo wakati huo kama waziri wa fedha na alikubaliana na hoja za Mwalimu wake [ Ndullu] lakini baada ya Ndullu kufariki ndio ujinga huu wa TOZO ukaanzishwa tena na athari zake kwa uchumi wa chi zinaonekana!!
Kweli tupu
 
Back
Top Bottom