Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Mama anaupiga mwingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana baada ya tozo na kelele kuwa nyingi mama kaingilia hapa na pale ,punguza hivi na vile ilimradi kuwe na nafuu.Katika mambo ambayo Gavana wa BOT[ Benno Ndullu] alimshauri Jiwe ni athari za TOZO kwenye miamala kwa uchumi wa nchi; kuweka TOZO kenye miamala ya simu alisema haisaidii ukuaji wa uchumi kwasababu inawatenga wananchi wengi hasa wa vijijini kwenye ushiriki wa matumizi ya fedha [FINANCIAL INCLUSION} !! Mpango alikuwepo wakati huo kama waziri wa fedha na alikubaliana na hoja za Mwalimu wake [ Ndullu] lakini baada ya Ndullu kufariki ndio ujinga huu wa TOZO ukaanzishwa tena na athari zake kwa uchumi wa chi zinaonekana!!
Tzn Rais ni Mungu mtu, executive presidentKwanini bajeti huwa ni ya MTU? Nibajeti ya Sa100 ama ya serikali? Taifa linaongozwa ajiskiavyo MTU nabunge linagonga meza... Rubish!!!
Of course wa kutosha so unaona hizi Takwimu hapa 👇Mama anaupiga mwingi
Who is talking about pesa ya mkopo wa corona here?Kwa hiyo hata pesa za mkopo wa Corona ziliombwa na serikali ya awamu ya tano ya Magufuli na sio awamu ya Sita ya Samia? Yaani Magufuli alivyokuwa kinyume na harakati za Covid duniani halafu aende kuomba zile pesa zenye masharti haya?
Sote tunajua pesa za mkopo waa Covid zilianza kuombwa kabla ya ujio wa Tozo ama zote zilienda sambamba.
Yaani maCCM ni majinga sana halafu yanalazimisha sote tuwe wajinga
Watu hawaishiwi vituko. Lolote linaloonekana kuwa baya, ni la Magufuli. Lolote linaloonekana kuwa zuri basi ni la Samia......Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla.
Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023..
Wale watoa shutuma za tozo mtakuwa mumeipata hii.
Hapana mkuu ,Licha ya bajeti kuandaliwa ila Samia nae ana yake mengi ambayo alitoa kama maelekezo baada ya kuwa Rais .Watu hawaishiwi vituko. Lolote linaloonekana kuwa baya, ni la Magufuli. Lolote linaloonekana kuwa zuri basi ni la Samia......
So pathetic
Alikuwa nje ya serikali? Kwamba alikuwa hashiriki mipango ya nchi hii? Kwa nini Samia anatenganishwa na utawala wa awamu ya tano as if aliingia madarakani baada ya kupigiwa kura pale utawala wa awamu ya tano kufikia ukomo wa mihula yake miwili!?Kwa hiyo ni sahihi kwamba mambo mengi hakuwa aware nayo.
Hiyo ndio shida ya Viongozi wetu wa Tanzania, yaani wanapuuzia sana ushauri wa Wataalamu.Katika mambo ambayo Gavana wa BOT[ Benno Ndullu] alimshauri Jiwe ni athari za TOZO kwenye miamala kwa uchumi wa nchi; kuweka TOZO kenye miamala ya simu alisema haisaidii ukuaji wa uchumi kwasababu inawatenga wananchi wengi hasa wa vijijini kwenye ushiriki wa matumizi ya fedha [FINANCIAL INCLUSION} !! Mpango alikuwepo wakati huo kama waziri wa fedha na alikubaliana na hoja za Mwalimu wake [ Ndullu] lakini baada ya Ndullu kufariki ndio ujinga huu wa TOZO ukaanzishwa tena na athari zake kwa uchumi wa chi zinaonekana!!
Wapi Makamu wa Rais anashiriki hiyo mipango? Ni mpaka ashirikishwe .Alikuwa nje ya serikali? Kwamba alikuwa hashiriki mipango ya nchi hii? Kwa nini Samia anatenganishwa na utawala wa awamu ya tano as if aliingia madarakani baada ya kupigiwa kura pale utawala wa awamu ya tano kufikia ukomo wa mihula yake miwili!?
This doesn't make sense to any sensible person.
Mama anasema eti huu ulikuwa mradi wa polisi na pia kama unakumbuka kipindi cha Mwendazake ilikuwa polisi wanataja makusanyo ikawa inazusha mijadala Sana.MAPATO KUPITIA FINE ZA BARABARANI YASISHUKE NAONA KAMA YAMELEGALEGA FINE ZA BARABARANI ILIKUWA NI CHANZO KIZURI NA KIKUBWA KWELI CHA MAPATO, THE GOVT SHOULD RESTORE THIS, AND NEVER ALLOWS ITS TO FALL/DROPS.
Hata ikipangwa bado Rais huwa ana uwezo wa kuelekeza ingawa haitakiwi kuwa nje ya bajeti,Magu alikuwa na tabia ya kufanya vitu nje ya bajeti .Mmmh!
Kama bajeti ilishakuwa ulipangwa, mbona tumekuwa tukiona Rais akiekeleza matumizi ya fedha kadha wa kadha!!!
Daaah, so sad. Kwa aina hii ya uelewa wacha tuendelee kupigwa kwa hizo tozo mpaka akili zikae sawa.Wapi Makamu wa Rais anashiriki hiyo mipango? Ni mpaka ashirikishwe .
Ujue kutofautisha neno Vice president na Deputy President ila kama hujui utaishia kuuliza hicho unachouliza.
Huyu Kimei no Kimeo,kwa hiyo Vikao vya Bunge mlivyokaa miezi mitatu na mkaweka tozo mlienda kupitiaha bajeti ya CCM?Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla.
Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023..
Wale watoa shutuma za tozo mtakuwa mumeipata hii.
Hata ikipangwa bado Rais huwa ana uwezo wa kuelekeza ingawa haitakiwi kuwa nje ya bajeti,Magu alikuwa na tabia ya kufanya vitu nje ya bajeti .
Covax nayo haiko nje ya bajeti kwa sababu,bajeti ilihitaji kupata mikopo,misaada ya wahisani nk kwa hiyo kama ilipatikana it was good ..Labda ungetaja kuwa kuna mzigo toka kwa wahisani vile Samia alikubaliana na mpango wa Covax...
Ni baada ya Mpango kuwa VP ndiyo Mwigulu akawa waziri wa fedha. So mama ndiye kamteua Mwigulu.Msitutoe kwenye reli. Hivi Mwigilu, aliteuliwa na Mama au Mwenda kuzimu??
Ambayo Samia alikuwemo na yumo. Infact tupo awamu ya tano. Awamu ya sita itaanza November 2025Tozo ni Plane ya Sehemu ya Serikali ya awamu ya Tano,