Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

Ndio maana baada ya tozo na kelele kuwa nyingi mama kaingilia hapa na pale ,punguza hivi na vile ilimradi kuwe na nafuu.

Nadhani bajeti ijayo zitapungua zaidi au kufutwa kabisa ila ya mafuta haitatoka but watafuta vile vingine vya tasac,sijui rea ,na upuuzi kama huo .

Prof.Ndulu alikuwa mchumi mzuri lakini huyu mwanasheria wa Sasa ni kichomi.
 
Who is talking about pesa ya mkopo wa corona here?
 
Watu hawaishiwi vituko. Lolote linaloonekana kuwa baya, ni la Magufuli. Lolote linaloonekana kuwa zuri basi ni la Samia......
So pathetic
 
Watu hawaishiwi vituko. Lolote linaloonekana kuwa baya, ni la Magufuli. Lolote linaloonekana kuwa zuri basi ni la Samia......
So pathetic
Hapana mkuu ,Licha ya bajeti kuandaliwa ila Samia nae ana yake mengi ambayo alitoa kama maelekezo baada ya kuwa Rais .

Ila ni ukweli kwamba bajeti alikuta imepangwa,ndio maana uliona Bunge la mwezi wa tisa walipitisha mpango na muongozo wa bajeti ijayo,ndivyo ilifanyika pia Kabla Samia hajawa Rais.Kwa hiyo ni sahihi kwamba mambo mengi hakuwa aware nayo.

Mwisho hivi sasa tayari Watu wako kwenye maandalizi ya bajeti Kila taasisi baada ya Muongozo kwa hiyo hii ya mwaka huu ndio ita reflect muelekeo wa Serikali ya Samia.
 
Kwa hiyo ni sahihi kwamba mambo mengi hakuwa aware nayo.
Alikuwa nje ya serikali? Kwamba alikuwa hashiriki mipango ya nchi hii? Kwa nini Samia anatenganishwa na utawala wa awamu ya tano as if aliingia madarakani baada ya kupigiwa kura pale utawala wa awamu ya tano kufikia ukomo wa mihula yake miwili!?
This doesn't make sense to any sensible person.
 
Mmmh!

Kama bajeti ilishakuwa ulipangwa, mbona tumekuwa tukiona Rais akiekeleza matumizi ya fedha kadha wa kadha!!!
 
MAPATO KUPITIA FINE ZA BARABARANI YASISHUKE NAONA KAMA YAMELEGALEGA FINE ZA BARABARANI ILIKUWA NI CHANZO KIZURI NA KIKUBWA KWELI CHA MAPATO, THE GOVT SHOULD RESTORE THIS, AND NEVER ALLOWS ITS TO FALL/DROPS.
 
Hiyo ndio shida ya Viongozi wetu wa Tanzania, yaani wanapuuzia sana ushauri wa Wataalamu.
 
Wapi Makamu wa Rais anashiriki hiyo mipango? Ni mpaka ashirikishwe .

Ujue kutofautisha neno Vice president na Deputy President ila kama hujui utaishia kuuliza hicho unachouliza.
 
MAPATO KUPITIA FINE ZA BARABARANI YASISHUKE NAONA KAMA YAMELEGALEGA FINE ZA BARABARANI ILIKUWA NI CHANZO KIZURI NA KIKUBWA KWELI CHA MAPATO, THE GOVT SHOULD RESTORE THIS, AND NEVER ALLOWS ITS TO FALL/DROPS.
Mama anasema eti huu ulikuwa mradi wa polisi na pia kama unakumbuka kipindi cha Mwendazake ilikuwa polisi wanataja makusanyo ikawa inazusha mijadala Sana.

Kazi ya polisi sio kukusanya pesa bali kuzuia uhalifu,fines ni adhabu ya mwisho kabisa.Saizi badala ya fines unafutiwa leseni tuu na namba yako ya Nida tunaitoa kwenye fani yaani unapigwa blacklist.
 
Mmmh!

Kama bajeti ilishakuwa ulipangwa, mbona tumekuwa tukiona Rais akiekeleza matumizi ya fedha kadha wa kadha!!!
Hata ikipangwa bado Rais huwa ana uwezo wa kuelekeza ingawa haitakiwi kuwa nje ya bajeti,Magu alikuwa na tabia ya kufanya vitu nje ya bajeti .
 
Wapi Makamu wa Rais anashiriki hiyo mipango? Ni mpaka ashirikishwe .

Ujue kutofautisha neno Vice president na Deputy President ila kama hujui utaishia kuuliza hicho unachouliza.
Daaah, so sad. Kwa aina hii ya uelewa wacha tuendelee kupigwa kwa hizo tozo mpaka akili zikae sawa.
Hivi unajua kwamba haya mambo before they're presented to the parliament yanajadidiwa kwenye Baraza la Mawaziri? Na je unajua kwamba Makamo wa Rais ni Mjumbe kwenye Cabinet?
 
Huyu Kimei no Kimeo,kwa hiyo Vikao vya Bunge mlivyokaa miezi mitatu na mkaweka tozo mlienda kupitiaha bajeti ya CCM?
 
Labda ungetaja kuwa kuna mzigo toka kwa wahisani vile Samia alikubaliana na mpango wa Covax...
Covax nayo haiko nje ya bajeti kwa sababu,bajeti ilihitaji kupata mikopo,misaada ya wahisani nk kwa hiyo kama ilipatikana it was good ..

Ona huu mchanganuo hapa una mikopo ya ndani,mikopo ya Nje na misaada kutoka washirika wa maendeleo 👇

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…