Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

Prof.Ndulu alikuwa mchumi mzuri lakini huyu mwanasheria wa Sasa ni kichomi

BOT inatakiwa kuongozwa na mchumi mwenye track record ya utendaji na uzoefu ; it does not matter hata kama ni mstaafu, mbona wenzetu waliofanikiwa wanawatumia sana wastaafu kwenye mambo yao ya fedha! Mkuu wa Federal reserve Powell na hata aliyemtangulia Yellen wote ni watu wenye uzoefu ambao huku kwetu tungewaita WASTAAFU!!! Tunao wachumi wazuri tu wa kiwango cha Ndullu hata kuzidi ambao hatuwatumii!!!
 
Ndio mbona zigo la tozo anabebeshwa Samia na Mwigulu na kumuacha Mwendazake na Mpango?
Magufuli awezi kuweka tozo za kianithi kwa masikini akaacha kukusanya pesa kwenye madini na resource ambazo mungy katupatia ,Tozo ni project ya team wahuni bin msoga
 
Watu hawaishiwi vituko. Lolote linaloonekana kuwa baya, ni la Magufuli. Lolote linaloonekana kuwa zuri basi ni la Samia......
So pathetic
Hiyo ni harufu ya mafii ya wahuni ......tokomeza wahuni popote uwaonapo ,mama kachagua kwenda na wahuni na kuwaacha wananchi na uzarendo
 
Magufuli awezi kuweka tozo za kianithi kwa masikini akaacha kukusanya pesa kwenye madini na resource ambazo mungy katupatia ,Tozo ni project ya team wahuni bin msoga
20,000 ya kulipisha wauza mboga eti Kitambulisho cha mjasiliamali aliweka nani?
 
Kweli tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…