Nina wasiwasi na elimu yako kama ilikusaidia kufuta ujinga kichwani.Huyu Padre ni mjinga sana na najuta kusoma SAUT akiwa Vice Chancellor.
Kwa uelewa wake mdogo wa masuala ya kiuchumi, hakuweza kufahamu mzunguko wa pesa ambao DPW wanataka kuuleta hivyo akawa kikwazo kwa kudhani nyuma ya uhusiano wa Tanzania na hiyo kampuni kuna udini umejificha!.Anajifichia kwenye dini. Hata jaribio lake la kuingiza kanisa kwenye siasa lilikwama, alitaka kanisa liwe linatoa matamko kila jumapili dhidi ya serikali. Halafu pia ni msingida kulekule anakotoka Lissu, na ana itikadi moja na Lissu
Soma uelewe kabla hujaanza kuhoji, NIMESEMA SIJALI UWE CHAMA GANI AU DINI GANI SIPENDI WATU WANAOJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA UDINI NA KUFANYA UPUUZI HUU.Mbona Bakwata Na viongozi wake ni tawi la CCM π€π€.
Wanaoamini katika Tabia mbaya sana ya kuhamisha mijadala yenye tija na maslahi kwa jamii yetu na kushupalia mambo ya kijinga!Tatizo sana... Humu jf kuna watu kufikiria sijui huwa wanatumia ubongo wa aina gani???. Anaweza kuongea pumba mpaka unashangaa.
Wewe ni mpumbavu!Huyu Padre ni mjinga sana na najuta kusoma SAUT akiwa Vice Chancellor.
Aliyekuambia sijaelewa ni nani??..Soma uelewe kabla hujaanza kuhoji, NIMESEMA SIJALI UWE CHAMA GANI AU DINI GANI SIPENDI WATU WANAOJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA UDINI NA KUFANYA UPUUZI HUU.
Ndiyo mkuu, lazima lipendwe kwa sababu, CCM inapenda watu wajinga wajinga ili iendelee kula Asali kila kukicha..,..Wanaoamini katika Tabia mbaya sana ya kuhamisha mijadala yenye tija na maslahi kwa jamii yetu na kushupalia mambo ya kijinga!
Kundi hili linapendwa Saba na CCM kwa sababu halina uwezo wa kuhoji juu ya mienendo ya viongozi au watawala! Kwao wanaona fahari ujinga ukitamalaki!
Bado hutaki kuelewa unatanguliza chuki zako za CCM mbele. Nimesema iwe CCM au Chama chochote kosa ni kosa haijalishi. Hapa naongelea viongozi wa dini maana wale wa siasa wameshitambulisha ni wana siasa. Viongozi wote wa dini ndio wanakubali ujinga huu makanisani au misikitini. Ukiwa mtu wa dini hubiri dini ukileta uchama humo humo kuna wafuasi wako wa vyama tofauti. Ukitaka kuongea siasa ongea nje ya sehemu za ibada.Aliyekuambia sijaelewa ni nani??..
Kitu ambacho inatakiwa ukijue, ni kwamba kila mtu anahaki ya kusema jambo bovu linalofanyika nchini kwake.. ( haijarishi ni sheikh au Askoofu ).
Unaushauri CCM Ikiwa inafanya upuuzi viongozi wa Dini wakae kimya???, mbona ccm hiyo hiyo inaenda kwenye nyumba za ibada kufanya mambo yao.( vipi CCM nao ni wapuuzi kwenda kwenye nyumba za ibada??)
Uelewa wako na wake katika mambo yahusuyo jamii kisiasa na kiuchumi ukifanya ulinganifu ni kama sisimizi na tembo! Yani wewe ni sisimizi na yeye ni tembo!Kwa uelewa wake mdogo wa masuala ya kiuchumi, hakuweza kufahamu mzunguko wa pesa ambao DPW wanataka kuuleta hivyo akawa kikwazo kwa kudhani nyuma ya uhusiano wa Tanzania na hiyo kampuni kuna udini umejificha!.
Bado hutaki kuelewa unatanguliza chuki zako za CCM mbele. Nimesema iwe CCM au Chama chochote kosa ni kosa haijalishi. Hapa naongelea viongozi wa dini maana wale wa siasa wameshitambulisha ni wana siasa. Viongozi wote wa dini ndio wanakubali ujinga huu makanisani au misikitini. Ukiwa mtu wa dini hubiri dini ukileta uchama humo humo kuna wafuasi wako wa vyama tofauti. Ukitaka kuongea siasa ongea nje ya sehemu za ibada.
Chuki zipi unazoongerea ndugu???, kwa hiyo unataka nifurahie kuandikishwa watoto chini ya miaka 18 kwenye daftari la wapiga kura??? π€ π€??Bado hutaki kuelewa unatanguliza chuki zako za CCM mbele.
Tunachoangalia ni maslahi ya wananchi ndugu si kingine, kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kumbeza kitima kwa sababu anatetea maslahi ya Taifa kwa ujumla.Ukitaka kuongea siasa ongea nje ya sehemu za ibada.
Marahaba watoto. Hamjambo watoto wazuri?chipkiiiiiz binadamu wote ni ndugu zangu na africa ni moja shikamooo mwalim
Alinifundisha kujitegemea na ndio maana sikubaliani na mawazo yake. Wenye fikra ndogo na bendera fuata upepo kama wewe mtaamini kila kitu mnachoambiwa. Mfano, mwanangu kasajiliwa kupiga kura na ni mwanafunzi. Je, ni kosa?Alikuwa anakufundisha namna ya kujitegemea kifkra, bila kutegemea mawazo ya wengine..
Bahati mbaya ulimaliza kwa kukariri bila kuelewa kilichofundishwa, matokeo yake ndo haya sasa..
Kuna watoto siku hizi? kabisa unawachukulia poa watoto wa shule. Yes watoto wa zamani ni kweli hawa wa leo wanajuwa mambo wewe huyajui. Mtoto wa miaka 12 leo kama mtoto wa miaka 18 miaka ya nyuma. Mitandao michafu yote wanayajuwa. Lakini hili tuliache. Nitajie athari mbaya kubwa ya hao watoto kama ni kweli wameandikishwa, tena ni serikali za mitaa tu.Chuki zipi unazoongerea ndugu???, kwa hiyo unataka nifurahie kuandikishwa watoto chini ya miaka 18 kwenye daftari la wapiga kura??? π€ π€??
Tunachoangalia ni maslahi ya wananchi ndugu si kingine, kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kumbeza kitima kwa sababu anatetea maslahi ya Taifa kwa ujumla.
Mojawapo ya elimu bora niliyopata ni ile iliyosemwa na Dr. Stockman kwenye kitabu cha "An Enemy of the People" kwamba "The strongest man in the world always stands alone".Nina wasiwasi na elimu yako kama ilikusaidia kufuta ujinga kichwani.
AhsanteWewe ni mpumbavu!
Utakuwaunaliwa papaiSijawahi ona padri akihubiri kwa makelele hivyo mpaka nasikia ngoma ya masikio inataka kutoboka
Alinifundisha kujitegemea na ndio maana sikubaliani na mawazo yake. Wenye fikra ndogo na bendera fuata upepo kama wewe mtaamini kila kitu mnachoambiwa. Mfano, mwanangu kasajiliwa kupiga kura na ni mwanafunzi. Je, ni kosa?
Sasa kama hukubaliani na mawazo yake, kwa nini unatukana??? Au alikufundisha ukiwa unajibu hoja uwe unatukana?? π€Alinifundisha kujitegemea na ndio maana sikubaliani na mawazo yake
. Katiba ya nchi inasemaje kuhusu umri wa kupiga kura???.mwanangu kasajiliwa kupiga kura na ni mwanafunzi. Je, ni kosa?
Kuna watoto siku hizi? kabisa unawachukulia poa watoto wa shule. Yes watoto wa zamani ni kweli hawa wa leo wanajuwa mambo wewe huyajui. Mtoto wa miaka 12 leo kama mtoto wa miaka 18 miaka ya nyuma. Mitandao michafu yote wanayajuwa. Lakini hili tuliache. Nitajie athari mbaya kubwa ya hao watoto kama ni kweli wameandikishwa, tena ni serikali za mitaa tu.
Wapo akina nani sasa kama watoto wa shule hawapo?? π€ π€Kuna watoto siku hizi? kabisa unawachukulia poa watoto wa shule
1. Kwa hiyo hichi ndo kigezo kilicho tumika kuruhusu mwanafunzi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura??Yes watoto wa zamani ni kweli hawa wa leo wanajuwa mambo wewe huyajui. Mtoto wa miaka 12 leo kama mtoto wa miaka 18 miaka ya nyuma. Mitandao michafu yote wanayajuwa
1. Athari mbaya zipo nyingi tu, udanganyifu katika uchaguzi, mtu akiwa na umri chini ya miaka 18 hana uwezo wa kufikiria kibnafsi tofauti na kufuata maelekezo yaliyotolewa na mtu fulani ( ufahamu binafsi)Nitajie athari mbaya kubwa ya hao watoto kama ni kweli wameandikishwa, tena ni serikali za mitaa tu.
Chipukuzi πΌ