LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

LGE2024 Dkt. Charles Kitima: Wameandikisha Watoto wa Shule ya Msingi na Sekondari kupiga Kura, mnawaharibu Watoto

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Anajifichia kwenye dini. Hata jaribio lake la kuingiza kanisa kwenye siasa lilikwama, alitaka kanisa liwe linatoa matamko kila jumapili dhidi ya serikali. Halafu pia ni msingida kulekule anakotoka Lissu, na ana itikadi moja na Lissu
Kwa uelewa wake mdogo wa masuala ya kiuchumi, hakuweza kufahamu mzunguko wa pesa ambao DPW wanataka kuuleta hivyo akawa kikwazo kwa kudhani nyuma ya uhusiano wa Tanzania na hiyo kampuni kuna udini umejificha!.

Yapo mema ya utetezi wa haki za raia anayafanya lakini anao huo unafiki wa kujificha nyuma ya mavazi ya kiaskofu.
 
Mbona Bakwata Na viongozi wake ni tawi la CCM 🤒🤒.
Soma uelewe kabla hujaanza kuhoji, NIMESEMA SIJALI UWE CHAMA GANI AU DINI GANI SIPENDI WATU WANAOJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA UDINI NA KUFANYA UPUUZI HUU.
 
Tatizo sana... Humu jf kuna watu kufikiria sijui huwa wanatumia ubongo wa aina gani???. Anaweza kuongea pumba mpaka unashangaa.
Wanaoamini katika Tabia mbaya sana ya kuhamisha mijadala yenye tija na maslahi kwa jamii yetu na kushupalia mambo ya kijinga!
Kundi hili linapendwa Saba na CCM kwa sababu halina uwezo wa kuhoji juu ya mienendo ya viongozi au watawala! Kwao wanaona fahari ujinga ukitamalaki!
 
Soma uelewe kabla hujaanza kuhoji, NIMESEMA SIJALI UWE CHAMA GANI AU DINI GANI SIPENDI WATU WANAOJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA UDINI NA KUFANYA UPUUZI HUU.
Aliyekuambia sijaelewa ni nani??..

Kitu ambacho inatakiwa ukijue, ni kwamba kila mtu anahaki ya kusema jambo bovu linalofanyika nchini kwake.. ( haijarishi ni sheikh au Askoofu ).

Unashauri CCM Ikiwa inafanya upuuzi viongozi wa Dini wakae kimya???, mbona ccm hiyo hiyo inaenda kwenye nyumba za ibada kufanya mambo yao.( vipi CCM nao ni wapuuzi kwenda kwenye nyumba za ibada??)
 
Wanaoamini katika Tabia mbaya sana ya kuhamisha mijadala yenye tija na maslahi kwa jamii yetu na kushupalia mambo ya kijinga!
Kundi hili linapendwa Saba na CCM kwa sababu halina uwezo wa kuhoji juu ya mienendo ya viongozi au watawala! Kwao wanaona fahari ujinga ukitamalaki!
Ndiyo mkuu, lazima lipendwe kwa sababu, CCM inapenda watu wajinga wajinga ili iendelee kula Asali kila kukicha..,..

Mtu huyo huyo anayeshabikia upuuzi, nyumbani kutwa kushindia ugali na vidagaa.
 
Aliyekuambia sijaelewa ni nani??..

Kitu ambacho inatakiwa ukijue, ni kwamba kila mtu anahaki ya kusema jambo bovu linalofanyika nchini kwake.. ( haijarishi ni sheikh au Askoofu ).

Unaushauri CCM Ikiwa inafanya upuuzi viongozi wa Dini wakae kimya???, mbona ccm hiyo hiyo inaenda kwenye nyumba za ibada kufanya mambo yao.( vipi CCM nao ni wapuuzi kwenda kwenye nyumba za ibada??)
Bado hutaki kuelewa unatanguliza chuki zako za CCM mbele. Nimesema iwe CCM au Chama chochote kosa ni kosa haijalishi. Hapa naongelea viongozi wa dini maana wale wa siasa wameshitambulisha ni wana siasa. Viongozi wote wa dini ndio wanakubali ujinga huu makanisani au misikitini. Ukiwa mtu wa dini hubiri dini ukileta uchama humo humo kuna wafuasi wako wa vyama tofauti. Ukitaka kuongea siasa ongea nje ya sehemu za ibada.
 
Kwa uelewa wake mdogo wa masuala ya kiuchumi, hakuweza kufahamu mzunguko wa pesa ambao DPW wanataka kuuleta hivyo akawa kikwazo kwa kudhani nyuma ya uhusiano wa Tanzania na hiyo kampuni kuna udini umejificha!.
Uelewa wako na wake katika mambo yahusuyo jamii kisiasa na kiuchumi ukifanya ulinganifu ni kama sisimizi na tembo! Yani wewe ni sisimizi na yeye ni tembo!

Wakati wewe unaaminishwa Kila kitu kinachosemwa na wapenda madaraka na faledha kwa kukufanya mjinga na maamuma! Yeye ni Mwalimu, Kiongozi wa dini, Msomi na mtafiti katika maswala hayo! Kwahiyo anaongea jambo ambalo amelifanyia utafiti na kuona impact yake katika jamii.
Wakati wewe scope Yako ya uelewa wa mambo unaishia tu Pale unapoishi na kufanya kazi na hapa Jf ambapo wengi wa aina Yako wapo, yeye ana international exposure and recognition
. Kwamba huko duniani amefika na Tanzania hii analijua physically sio theoretically kama wewe.

Wakati wewe unafanya kazi kwenye kampuni ambayo inafahamika mwisho magomeni au kama ni halmashauri ni hapo hapo ilipo, yeye anafanya kazi na locals, internationals, top official leaders in government and politics and other institutions including a Catholic church, Ndio maana alaweza kuhudumu katika nafasi nyeti ya Ukatibu Tanzania Episcopal Conference, wakati wewe hujawahi kuwa hata monitor darasa tukiacha hata kikundi Cha wahuni.

Kwahiyo kijifucha kwenye kichaka kidogo Cha "uelewa wa mambo" na ukajisaidia poop la eti udini na kutaka kuingiza kanisa kwenye siasa! Harufu ya poop inatamalaki mapema huku kichwa chako kikionekana na kalio linalotoa ujinga likiwa bayana! Unastahili aina hii ya majibu
 
Bado hutaki kuelewa unatanguliza chuki zako za CCM mbele. Nimesema iwe CCM au Chama chochote kosa ni kosa haijalishi. Hapa naongelea viongozi wa dini maana wale wa siasa wameshitambulisha ni wana siasa. Viongozi wote wa dini ndio wanakubali ujinga huu makanisani au misikitini. Ukiwa mtu wa dini hubiri dini ukileta uchama humo humo kuna wafuasi wako wa vyama tofauti. Ukitaka kuongea siasa ongea nje ya sehemu za ibada.
Bado hutaki kuelewa unatanguliza chuki zako za CCM mbele.
Chuki zipi unazoongerea ndugu???, kwa hiyo unataka nifurahie kuandikishwa watoto chini ya miaka 18 kwenye daftari la wapiga kura??? 🤔 🤔??

Ukitaka kuongea siasa ongea nje ya sehemu za ibada.
Tunachoangalia ni maslahi ya wananchi ndugu si kingine, kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kumbeza kitima kwa sababu anatetea maslahi ya Taifa kwa ujumla.
 
Alikuwa anakufundisha namna ya kujitegemea kifkra, bila kutegemea mawazo ya wengine..

Bahati mbaya ulimaliza kwa kukariri bila kuelewa kilichofundishwa, matokeo yake ndo haya sasa..
Alinifundisha kujitegemea na ndio maana sikubaliani na mawazo yake. Wenye fikra ndogo na bendera fuata upepo kama wewe mtaamini kila kitu mnachoambiwa. Mfano, mwanangu kasajiliwa kupiga kura na ni mwanafunzi. Je, ni kosa?
 
Chuki zipi unazoongerea ndugu???, kwa hiyo unataka nifurahie kuandikishwa watoto chini ya miaka 18 kwenye daftari la wapiga kura??? 🤔 🤔??

Tunachoangalia ni maslahi ya wananchi ndugu si kingine, kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kumbeza kitima kwa sababu anatetea maslahi ya Taifa kwa ujumla.
Kuna watoto siku hizi? kabisa unawachukulia poa watoto wa shule. Yes watoto wa zamani ni kweli hawa wa leo wanajuwa mambo wewe huyajui. Mtoto wa miaka 12 leo kama mtoto wa miaka 18 miaka ya nyuma. Mitandao michafu yote wanayajuwa. Lakini hili tuliache. Nitajie athari mbaya kubwa ya hao watoto kama ni kweli wameandikishwa, tena ni serikali za mitaa tu.
 
Nina wasiwasi na elimu yako kama ilikusaidia kufuta ujinga kichwani.
Mojawapo ya elimu bora niliyopata ni ile iliyosemwa na Dr. Stockman kwenye kitabu cha "An Enemy of the People" kwamba "The strongest man in the world always stands alone".
 
Alinifundisha kujitegemea na ndio maana sikubaliani na mawazo yake. Wenye fikra ndogo na bendera fuata upepo kama wewe mtaamini kila kitu mnachoambiwa. Mfano, mwanangu kasajiliwa kupiga kura na ni mwanafunzi. Je, ni kosa?
Alinifundisha kujitegemea na ndio maana sikubaliani na mawazo yake
Sasa kama hukubaliani na mawazo yake, kwa nini unatukana??? Au alikufundisha ukiwa unajibu hoja uwe unatukana?? 🤔

mwanangu kasajiliwa kupiga kura na ni mwanafunzi. Je, ni kosa?
. Katiba ya nchi inasemaje kuhusu umri wa kupiga kura???.

. Je usipoandikisha hao watoto masuala ya kura na ukaacha watu wazima wapige kura kuna hasara gani kitaifa???
 
Kuna watoto siku hizi? kabisa unawachukulia poa watoto wa shule. Yes watoto wa zamani ni kweli hawa wa leo wanajuwa mambo wewe huyajui. Mtoto wa miaka 12 leo kama mtoto wa miaka 18 miaka ya nyuma. Mitandao michafu yote wanayajuwa. Lakini hili tuliache. Nitajie athari mbaya kubwa ya hao watoto kama ni kweli wameandikishwa, tena ni serikali za mitaa tu.
Kuna watoto siku hizi? kabisa unawachukulia poa watoto wa shule
Wapo akina nani sasa kama watoto wa shule hawapo?? 🤔 🤔

Yes watoto wa zamani ni kweli hawa wa leo wanajuwa mambo wewe huyajui. Mtoto wa miaka 12 leo kama mtoto wa miaka 18 miaka ya nyuma. Mitandao michafu yote wanayajuwa
1. Kwa hiyo hichi ndo kigezo kilicho tumika kuruhusu mwanafunzi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura??

2. Ndo katiba yenu inavyosema?? ( Basi badilisheni katiba iwe chni ya miaka 12 mtu aruhisiwe kupiga kura ( Unaonaje??)

3. Mbona hamkutangaza kuwa watoto wa siku hizi siyo watoto tena, hivyo wanahaki ya kupiga kura!!

Nitajie athari mbaya kubwa ya hao watoto kama ni kweli wameandikishwa, tena ni serikali za mitaa tu.
1. Athari mbaya zipo nyingi tu, udanganyifu katika uchaguzi, mtu akiwa na umri chini ya miaka 18 hana uwezo wa kufikiria kibnafsi tofauti na kufuata maelekezo yaliyotolewa na mtu fulani ( ufahamu binafsi)

AMKA KIJANA..✍️ ✍️ ✍️ ✍️ ✍️
 
Back
Top Bottom