Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

Ndoa ni makubaliano ya mwanamke na mwanaume kuishi pamoja na kuanzisha familia. Hiyo ndio maana ya msingi ya ndoa
Safi, mbona wengi wanafanya hivyo na wanaambiwa sio Ndoa, km ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke pekee kuishi Pa1. Na nikurudishe juu kule ulisema kuna cheti sijui na nakala za nini kuhusu ndoa, sasa km ni makubaliano ya hao pekee, hizo cheti na nakala ni za nini?
 
Kuna mafanikio ya mtu binafsi.
Na mafanikio ya level ya kitaifa.

Ndoa ni mafanikio ya kibinafsi na kitaifa. Ndio maana popote utaulizwa hilo swali umeoa au kuolewa. Au unafikiri wanakuuliza kama fashen
unajumuisha mambo inakua ngumu kujadili mkuu πŸ˜‚
 
Wanaambiwa na nani?

Sheria inatambua kwamba ukiishina mwanamke/mwanaume kama mume na mke kwa zaidi ya miaka miwili hiyo ni ndoa. Imekosa tuu cheti.

Swali lako nimelijibu kwa maana ya msingi. Yaani maana ya awali kabisa.
Serikali ni nini?

Kabla ya Tanganyika na Tanzania kuwepo hapakuwa na Ndoa?

Kabla ya ugunduzi wa vyeti na maandishi hapakuwa na ndoa?

Ninaposema cheti au vibali usiwe na akili ndogo kutafsiri mambo.
 
Hakuna tafsiri moja ya mafanikio,tofautisha mafanikio na maendeleo,wengine tukiweza kuunga goli la kwanza na la pili na kudumu dk 50 basi tumefanikiwa kichizi
 
Usitake kudanganya hapa, Ndoa ni mafanikio binafsi, hizi hekaya za kwenye Uraia au Civics ni wala sio, na ndio maana hazikusema ni Lazima.

Ndoa sio mafanikio binafsi pekee. Hizi elimu mlifundishwa wapi?
Au ndio kusoma kikasuku?

Hata ukoo wako ukifunga ndoa ni mafanikio ya ukoo. Hilo pia hujui mpaka ufundishwe?
 
Ni kanuni na sheria ipi inasema usipo oa au kuolewa, inakua imevunjwa au kukiukwa? Na adhabu zake ni zipi?

Twende mdogo mdogo tu, halafu kunitolea vijineno vya kunidogosha upeo wangu, wala hunitoi kwenye reli.
 
Kwani wapi nimekuambia kuna sheria inakulazimisha kufanikiwa?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜†

Hakuna sheria yoyote dunia hii inakulazimisha kufanikiwa kwa jambo lolote. Iwe kununua gari, kujenga nyumba, kuwa tajiri, n.k.

Unaanza kuumia kijana
 
Hapa nakupinga mkuu.

Familia zilikuwepo kabla hata ya kuanzishwa kwa mifumo ya serikali.

Familia ni taasisi binafsi na huru inayojitegemea kiuongozi na kiuchumi.

Tunaweza kusema ni taasisi ya kijamii apo ina make sense.

Familia ni serikali.
 
Ndoa sio mafanikio binafsi pekee. Hizi elimu mlifundishwa wapi?
Au ndio kusoma kikasuku?

Hata ukoo wako ukifunga ndoa ni mafanikio ya ukoo. Hilo pia hujui mpaka ufundishwe?
Narudi pale pale wewe unacho zungumzia hapa ni MAZOEA, wala sio mafanikio, km unavyotaka kuainisha hapa, ndio maana hoja zako unasema watu wanapo uliza "Umeoa au umeolewa" hawaulizi kwa bahati mbaya, nini hii??
 
Sipendi kuishi na mtu chumba kimoja, hata nikijamba anasikia.

Nataka nikae mwenyewe nikijamba najamba kwa uhuru, sio unajamba halafu mtu anaziba pua.

Hiyo haikubaliki.
 
Narudi pale pale wewe unacho zungumzia hapa ni MAZOEA, wala sio mafanikio, km unavyotaka kuainisha hapa, ndio maana hoja zako unasema watu wanapo uliza "Umeoa au umeolewa" hawaulizi kwa bahati mbaya, nini hii??

Sijasema watu.
Nenda popote sehemu official. Hilo swali linaulizwa sio kama fasheni. Wanamaana zao.

Siku ukianza kuajiri watu utaelewa maana yake. Kwa sasa utaona ni mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…