Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

Dkt Chemical anafundisha nini huko UDSM kama hajui Ndoa ni sehemu ya mafanikio ya mtu both Mwanaume na Mwanamke?

Umeandika kwamba ndoa ni kipimo cha mafanikio, kwahiyo maana yake wake wasio na ndoa eg Oprah Winfrey hawana mafanikio
We unamwona Oprah anamafanikio!? Mtu analala peke yake kitandani kama upanga ndio amefanikiwa nini...
 
Sio kweli, mafanikio hayapimwi kwa malengo ya mtu. Mafanikio yanapimwa kwa malengo ya jamii. Ubaya au uzuri wa kitu unaamuliwa na jamii. Vilevile mafanikio au kutofanikiwa kunaamuliwa na standard iliyowekwa na jamii wala sio mtu binafsi. Jamii ndio inayoona kuwa kwenye ndoa ni mafanikio. Kama wewe umejiamulia kuishi kama mbwa na kuamua kupanda au kupandwa na kila mtu wakati wa 'heat' na kuzaa na mtu yeyote au kutozaa kabisa bila sababu, hivyo ukaona una enjoy na kuona ni mafanikio, hayo sio mafanikio kwa sababu unaenda kinyume na standard ya jamii, hivyo umepotea na ni wakuonewa huruma.
Kutumia vigezo vya jamii kupima maendeleo kunaweza kukufanya upoteze mwelekeo na kupigana vita visivyo vyako,

Kkila mtu ana ramani yake ya maisha mkuu.

Vitu kama ndoa inataka utayari wa mtu kutoka moyoni sio kufanya ivyo kwasababu jamii inakutaka kuoa. Yanakuja kutokea kama ya kweka.
 
Na wewe unachekesha kwani wewe ni nani hadi umpangie cha kufanya daktari mzima, angalia maisha yako kabla hujaangalia maisha binafsi ya wengine umeandika ukurasa mzima kwa jambo la udaku na lisilokuhusu, punguza ujuaji mkuu pambana na hali yako, nani kakambia mafanikio yanatokana na kuoa au kuolewa?
Chemical mhona umekuja kwa hasira ?
 
Wewe tiyari ulishachagua kuwa bwab.wa na kila mtu humu ndani anaelewa msimamo wako. Hili linalozungumziwa hapa sijui kama utalielewa kama lina mantiki
Badala ya kutoa hoja zako kujibu hoja yangu, unakuja na personal attacks,
Km mjadala uko juu ya uwezo wako wa ufahamu, ni bora utulie tu. Kuliko kujidhalilisha km hivi.
 
Back
Top Bottom