Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Naona Diallo kajibu swali kisiasa na si kiuhalisia.
Dialo tuna mfahamu kwa kuwa ni straight talker, na si wengine tunamfahamu tok akiwa kijana.

Kwanza lazima Dialo akubali kueleza kuwa Magufuli hakuwa msukuma, ni mtu aliyelowea toka Burundi huko , na ana historia ya ukimbizi.
Pili, Ili kupata backing ya kisiasa, Magufuli amewatumia sana wasukuma na jina la wasukuma ili aptae mizizi ya kisiasa.
Hilo halina ubishi.

Tatu, Sukuma gang si lazima mtu awe msukuma.
Sukuma Gang ni wale wafuasi wa karibu wa Magufuli, wengine abao wala si wasukuma kama kina kalemani, Doto n.k.
Sukuma ganag is a political coinage ya wafuasi wa Magufuli, wengi wao wanaotoka kanda ya ziwa.

Lkini Mbaya zaidi Sukuma Gang vile vile ni kielelezo cha UKABILA ambao Magufuli alifanikiwa kuujenga, kwa kuteua watu waliokaribu naye na wa kwao.
 
Kujikomba komba napo ni ufundi, umakini, akili, kila la kheri yao…
 
Wasukuma Orijino ni Shinyanga.
Wasukuma Org ni Mwanza shinyanga maana yake Shinyaga kwa kisukuma na kwa kiswahili mavi ya ng'ombe kwa hiyo ni eneo ambalo wafugaji wa kisukuma walihamia!
 
Pyee bhinikili nkimbili unene naluhaga gete.

Bhanyaneghwe mdabhamanile "sukuma gang".??? Masala magehu.
 
Anthony Ng'wandu Dialo ni mngoni huyo sasa. Nyambaff
Huyu Mzee Diallo ni mgogo wa Dodoma na alizaliwa Dodoma Kwa baba mgogo .Ila mama yake alikuwa mchanganyiko wa msukuma na mzinza
 
Wasukuma Og ni wale wa Bariadi na Bariadi ipo Shinyanga. Dr. Diallo muongo ndiyo maana awamu ya 5 alipigwa vitasa
 
Point taken βœ”οΈ, kumbe kuna wasukuma fake πŸ€”πŸ€”πŸ€”nishaelewa sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini wanamwita chifu Hayanga?

Kwanini jina hili alikwenda kutajwa Usukumani?

Kwanini hakutajwa siku alioapa kuwa Rais wa JMT?

Kwanini hakutumia jina la Kabila lingine, kwanini jina la Kisukuma?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Diallo sio jina kisukuma, akueleze ukweli alilitoa wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…