Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Ndio hapo wasukuma waliposhushwa. Kumsimika mwanamke kuwa chief
 

Kimsingi magufuli aliutumia usukuma kama koti tu ; ili afaidike na wingi wao
 
Huyu Mzee Diallo ni mgogo wa Dodoma na alizaliwa Dodoma Kwa baba mgogo .Ila mama yake alikuwa mchanganyiko wa msukuma na mzinza
Ila ana genetical make up yake imezidi kwa wasukuma
 
Chifu wenu mwanamalundi chunguza nguvu zake alipata wapi kama sio kwa aliyekuwa chiefu wa wanyaturu wa Singida mwanamke aliyeitwa chief Lerry au liti. Soma historia na heshimu wanawake
Hivi unaelewa kweli kinachozungumziwa au unakurupuka tu, well kwanini huyo mwanamke alimpa nguvu mwanamalundi? kwanini yeye asingekuwa chief?, point bado ipo pale pale wasukuma hatuna chief mwanamke.
 
Huyu diallo...

Kadri anavyo zeeka ndo akili zinakua chache.

Mwanamke na uchifu, wapi na wapi!!
hujui historia wewe, mwanza au kabila la wasukuma lilishawahi kuwa na chief mwanamke na alikuwa miongoni mwa machifu waliosifika sana
 
Hakuna Sukuma gang bali wapo pro Magufuli mpaka huko kwenye bwawa la Nyerere walionekana na kusikika !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…