UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Unaweza kufikiri ni masihara ila hofu ni kitu kibaya na kina nguvu kweli wengine tushajionea madhara ya hofu kwa wapendwa wetu.Kwa hiyo unataka watutishe?
Tuliambiwa hofu inapunguza kinga mwilini!