UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 16,543 Reaction score 7,880 Jul 14, 2021 #21 Cannabis said: Kwa hiyo unataka watutishe? Tuliambiwa hofu inapunguza kinga mwilini! Click to expand... Unaweza kufikiri ni masihara ila hofu ni kitu kibaya na kina nguvu kweli wengine tushajionea madhara ya hofu kwa wapendwa wetu.
Cannabis said: Kwa hiyo unataka watutishe? Tuliambiwa hofu inapunguza kinga mwilini! Click to expand... Unaweza kufikiri ni masihara ila hofu ni kitu kibaya na kina nguvu kweli wengine tushajionea madhara ya hofu kwa wapendwa wetu.