wacha kiherehere potiii
Itakuwa hata ile barua wameandika waoAMEFUKUZWA uanachama.
Samia ana elimu gani?Deo Ndejembi ana elimu gani?
Kitakacho fuatia ni kumpolepole.Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro leo Agosti 26, 2026 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Dkt. Migiro ameeleza kuwa uamuzi huo umefikiwa mara baada ya kukaliwa kwa vikao vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya chama hicho ambavyo vilijadili suala la maadili ya Dkt. Nchimbi na vikaazimia kwa pamoja kumfuta uanachama mwanachama huyo.
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
wewe uwekwe mtu kati na Kawaida kweli?Sasa kuna mwenye akili kwenye hiyo kamati hata mmoja?
Hata mimi nisingeenda kuhojiwa na vilaza
hayo ndio mawazo finyu ambayo huponza watu wengi ambao hawawazi kwa akili nzuriSasa kuna mwenye akili kwenye hiyo kamati hata mmoja?
Hata mimi nisingeenda kuhojiwa na vilaza
Akili yako imejaa mavi .Umeamua kurudisha mpira kwa kipa fala wewe
Hasara ipo kwa Nchimbi
Kufukuzwa ni sehemu ya kudhalilishwa.
Ni hatari
HehehCDM msije kulikaribisha ilo kubwa jinga emmanuel nchimbi.
Hao wote lao ni moja hakuna cha kufutwa uanachama wala nini,maigizo tu hayo.
kama Kuna matawi yapo ccm yapo tu hata ukikata huo unasema ni mzizi.Wanajua ataendelea kuwasumbua kwa sababu ana wafuasi wake wengi ndani ya chama. Walichokifanya hapa ni kukata mti na pia kung'oa kabisa na mizizi ili matawi ya huo mti nayo yakauke.
Ni umafia wa hali ya juu sana.
Yeye akae kimya tu na sasa kawaponza wale wote aliowateua kuwa makatibu wa ccm wa wilaya mbalimbali,watafukuzwa woteKitakacho fuatia ni kumpolepole.
Alifukuzwa Membe then akarudishiwa kadi hamna jipya
Kumbe hata issue ya maridhiano ni uongo kama wenyewe CCM hawaridhiani.Kuna msemo wanasema kenge hadi damu zimtoke puani.. Hesabu hazipo sawa naingiwa nawoga tunapolekea