Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Inasikitisha sana
Wakati mimi Mtoto wa Shule nafanya masters yangu ( sasa nafanya PhD Studies) niliwahi kukutana na kitabu kimoja kikisema kuwa, and I quote, "For Any institution or personnel to survive MUST comply to the existing political situation!"!

Simuonei huruma Dk. Nchimbi. Aliponea kwenye tundu la sindano mwaka 2015. Baadae akapanda hadi kuwa Balozi, Katibu Mkuu wa CCM Taifa na Makamu wa Rais. Mungu akupe nini?
Leo KAFUKUZWA CCM!!!
Kama ndicho alichotaka, basi binafsi namtakia kila la heri!!!!

Yule Mbunge aliyesema Bungeni kuwa kuna "Yuda" inaweza ikawa alikuwa ni "SAUTI KUTOKA NYIKANI!!!!!
 
Ilitegemewa hivyo tu,,, na hata makubwa zaidi ya kufukuzwa yaweza kumpata.
 
Yes akitoka ikulu hatokua na ulinzi madhubuti kama sasa pengine miongon mwa watesi wake wakaingia ikulu kajiandaaje? Hizi ni dalili za mtu ambae hana mpango wa kutoka ikulu ili kuwa na security ya uhakika
Ana mpango wa kwenda Oman akishamaliza kufanya ushetani wake. Ila kwa bahati nzuri hatamaliza lazima kimlambe. Anajiona anajua sana kumbe mpumbavu na elimu yake mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…