Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

Wanajua ataendelea kuwasumbua kwa sababu ana wafuasi wake wengi ndani ya chama. Walichokifanya hapa ni kukata mti na pia kung'oa kabisa na mizizi ili matawi ya huo mti nayo yakauke.

Ni umafia wa hali ya juu sana.
 
Unafikiri wewe unajua kuliko yeye? Kete zinasukumwa mzee


Hapana Mkuu.
Labda awe na mfumo mwingine lakini mpaka hapa kwenye kete zake naona amekosea baadhi ya step

Mtu mmoja tuu ndiye naona kete zake anasukuma kwa uangalifu na sio rahisi kushtukiwa kwa sababu ni Hodari kwa kula na vipofu.

Hata hivyo kama ulivyosema. Mimi bado ni mdogo sana acha nijifunze wakubwa wanafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…