Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

Ujumbe wako no habari njema lakini umeandika na mafubwasha yasiyoendana na ushindi wa Ndugulile. Je ushindi wa Ndungulile ni wa CCM au Tanzania?

Jifunze kuweka mizania kwenye jumbe zako. Usichanganye upuuzi na mambo ya msingi
 
Rais Samia hajawahi fanya kampeni ya kidiplomasia akashindwa.

Alimtuma Ummy Mwalimu kuzunguka zaidi ya Nchi 15 Kupeleka ujumbe wa Rais kuomba kura za Ndugulile.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Imeshinda.
na actually,
Mh.Rais Dr Samia Suluhu Hassan, alifanya kazi kubwa sana pia na ku make sure Dr.Tulia Akson anashinda urasi wa shirikisho la mabunge duniani..

huyu mama kwa mipango mikakati ya ushindi hawezekaniki aise ๐ŸŒน
 
Ujumbe wako no habari njema lakini umeandika na mafubwasha yasiyoendana na ushindi wa Ndugulile. Je ushindi wa Ndungulile ni wa CCM au Tanzania?

Jifunze kuweka mizania kwenye jumbe zako. Usichanganye upuuzi na mambo ya msingi
Kwani uliona wapi watu kama wa CHADEMA wakimpigia kampeni Dkt Ndugulile?
 
[emoji7]
 
na actually,
Mh.Rais Dr Samia Suluhu Hassan, alifanya kazi kubwa sana pia na ku make sure Dr.Tulia Akson anashinda urasi wa shirikisho la mabunge duniani..

huyu mama kwa mipango mikakati ya ushindi hawezekaniki aise ๐ŸŒน
Afcon,Makao Makuu ya Mahakama ya Haki za binadamu Arusha nk
 
Sijakuelewa mkuu unaposema Ndugulile kama Ndugulile, kwani kuna Ndugulile kama Ndugu nini?
Kuna Ndugulile kama mwanachama wa CCM, Mbunge wa CCM etc ambako Ndugulile kama Ndugulile anawekwa nyuma na Ndugulile kama mwana CCM anakaa mbele.

Huko kuna mengi sana nitaweza kupingana naye.
 
Yote haya ni kwa sababu ya influence ya mh.Rais SSH [emoji2956]

Kongole kwake Dr.Ndugulile [emoji7][emoji7]

Ni ngumu kwa mataifa yanayozungumza KIFARANSA kutowapigia kura wenzao wa lugha hiyo (francophone)....

"Lobby" iliyofanyika imelipa ,kura 25 kati ya 46 si haba hata kidogo kati ya nchi zinazozungumza kiingereza na kifaransa.....

#Tuhongereke watanzania [emoji7]

#Tanzania Imeshinda[emoji7]
 
Kwa hakika tuna kila sababu ya kumshukuru na kumpongeza Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ushawishi wake na kufanikisha ushindi huu kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima.
 
... hicho kiliwahi kuwa cheo cha Dr Mwele Malecela?
Hapana
=======

Mwele Ntuli Malecela was a Tanzanian civil servant who was a senior United Nations official and the director of the Department of Control of Neglected Tropical Diseases at the World Health Organization Headquarters in Geneva, Switzerland.
 
Kwa hakika tuna kila sababu ya kumshukuru na kumpongeza Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa ushawishi wake na kufanikisha ushindi huu kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima.
Hakika Mwaisa[emoji7]

Alama anazoendelea kuzidhihirisha hazihitaji hata mwanga wa tochi....

#Tunamshukuru mh.Rais daktari Mama Samia [emoji7]
#Tunampongeza mh.Rais daktari mama Samia [emoji7]

#Nchi inaendelea kuwa tulivu chini yake [emoji2956][emoji2956]
 
Nadhani kabla hajaenda Geneva kwenye hiyo position na mauti kumkutia hukohuko, alianzia WHO Africa tena huko huko DRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ