Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

Na makanisani nako pia Wanawake wanaangamia kwa shuhuda za uongo zinazoambatana na imani za kidin
Mmmmm! Hapa pagumu, itabidi pasubiri kwanza mpaka uchaguzi (s/za mitaa na uchaguzi mkuu) upite. Labda na kama kutatokea mwamba mmoja aguse eneo hilo. Kimsingi huko hakugusiki mpaka watanzania wenyewe waamke.
 
Nitamuandikia hata kwenye no yake, usiwazeee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafadhali usije ukamfikishia habari zangu... hatukuachana kwa ubaya. Ni wewe tu ulinikataa mimi msukuma na kwenda kwa sharobaro mwenye crown.
Em sema kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kama jina sio imani kwann ajiite jina la jamii ya kiislam jaman hivi ile interview hamkutizama au ndio watu mnapenda kubishana okay mmeshinda jina sio imani
Si tunasoma vichwa vya habari tu
 
Sawa, lakini generally huwa kuna hii kasumba keamba kila Mariam ni mtu wa ijumaa na Maria ni mtu wa jumapili, sio muda wote hubaki hivyo watu wanabadili dini na kubaki majina yao wengine
Ndo maana nikasema jina sio imani
 
Sawa, lakini generally huwa kuna hii kasumba keamba kila Mariam ni mtu wa ijumaa na Maria ni mtu wa jumapili, sio muda wote hubaki hivyo watu wanabadili dini na kubaki majina yao wengine
Ndo maana nikasema jina sio imani
Baba yangu anaitwa mussa na ni mkristo na mimi sijawazungumzia hao na wala hawanihusu hapa nimemzungumzia veronica ambe kwenye interview yake ya kulalana na joka alisema anaitwa latifa aisee kama hujaelewa nilichokimaanisha usiniletee gaazeti la mazingzong saa hiz
 
Natanguliza shukrani
 
Tatizo ni jamii isiyo na maadili. Hizi media zenyewe zimekaa kimagendomagemdo tu mtu analipwa juingea shit sjui kaliwa na msanii, sjui karogwa, sjui kafumaniwa ni ujinga ambao wabongo wanaupenda ndo maana zinapata views hata kama hazina tija
 
Ahsante Sana, naomba tu Kila anayeoona uongo uongo fulani kwenye Kila link basi tupeane ushirikiano. Maana naweza nikawa kuna link inaendelea mahali na mimi sijaiona na watu wanapotea.
Hongera kwa kazi nzuri Mhe. Waziri.

TCRA chini ya wizara yao ya mawasiliano katika hili wanatakiwa kukusaidia. Nasikitika kuwa wamelala usingizi wa pono kiasi kwamba unalazimika kuzitafuta mwenyewe mitandaoni habari zinazokuhusu wakati wao wapo, na wana bajeti na kila kitu. Waziri wao naye kazi yake kupigizana kelele na wapinzani tu wakati ana majukumu mengi ya kuyatekeleza katika kutunza maadili yanayoporomoka kwa speed ya mwanga, huku kitovu kikiwa ni mitandao ya kijamiii.

Nchi hii tusipojifunza kufanya kazi kwa teamwork na kuacha kila mtu ajipambanie kivyake hatutofika popote.
 
Wazirii Gwajima, kuna jambo nataka likufikie, haijalishi utalikubali au utalikataa, ila lazima nikufikishie.
Unataka kumwambia nini huyu mama?

Nakukumbusha tu kuwa upungazeze nchi hii hatuutaki, na juzi bungeni kaweka bayana msimamo wake katika hilo.

Labda umwambie mambo mengine.
 
Huyo ni mshirika mwenzake wa hayo mambo anayajua vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…