Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Halafu ukishatuweka wazi itakusaidia nini? Kuna yoyote kati ya uliowataja kakwambia anaona aibu

Of course sifaidiki ila kumbuka huu uzi una 8k views mpaka sasa hivyo nikiwa expose itarahisisha watu kutofautisha personality za watu humu ndanj na kujua ni nani wa kumpuuzia na kumweka kando

Si vizuri watu wajifanye wana dhahabu kichwani au ni wastaarabu kumbe ni malofa na mashetwani tu

Hivyo cause i dare to talk the truth
 
Sijasema ww msagaji ila unafagilia haya mambo ya madume kugeuzana wasagaji wanajulikana laiv

Na wanaopenda kutizama wanajulikana hivyo kuna tofauti ya shoga na anayependa kutizama hao mashogz

Nadhani umeelewa sikusema ww ni msagaji ila nimesema unapenda kushuhudia watu wakigeuzana. Huko nyuma
Sawa umeshanitaja so what? Sijawahi kujificha hata siku moja. Msimamo wangu kuhusu ushoga upo wazi .
Sina tatizo nao kila mtu apambane na hali yake, wawepo wasiwepo naona sawa tu. Sina muda wa kupinga maana ntapoteza muda wangu. Wewe tangu umeanza kupinga kuna matokeo chanya yoyote umeyaona?

Wanaoshabikia ushoga ni hawa wenzako kutwa kuanzisha mada za kupinga ushoga kumbe wanapromote kiaina.
 
Of course sifaidiki ila kumbuka huu uzi una 8k views mpaka sasa hivyo nikiwa expose itarahisisha watu kutofautisha personality za watu humu ndanj na kujua ni nani wa kumpuuzia na kumweka kando

Si vizuri watu wajifanye wana dhahabu kichwani au ni wastaarabu kumbe ni malofa na mashetwani tu

Hivyo cause i dare to talk the truth
Heee haya waambie wanipuuze. Anzisha kampeni itapendeza zaidi.
 
Sawa umeshanitaja so what? Sijawahi kujificha hata siku moja. Msimamo wangu kuhusu ushoga upo wazi .
Sina tatizo nao kila mtu apambane na hali yake, wawepo wasiwepo naona sawa tu. Sina muda wa kupinga maana ntapoteza muda wangu. Wewe tangu umeanza kupinga kuna matokeo chanya yoyote umeyaona?

Wanaoshabikia ushoga ni hawa wenzako kutwa kuanzisha mada za kupinga ushoga kumbe wanapromote kiaina.
Mi sijafaidika ila najua kuna watu kwa ground ambao hawa comment ila wanatazama haya wana cha kujifunza

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi Hata kwa ushoga pia si halali.

Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu.Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).

Hivyo hata Mungu anapendezwa jinsi navyowasagia kunguni sina cha kupoteza kabisa
 
Muone na huyu maskini,
Ndio mnadanganyana mkiwa mnabet kua Mzungu anataka Waafrika waishe ili yeye aje akae huku, una kipi cha ziada ambacho huyo Mzungu nchini kwake hana? Kati yenu nyie weusi na wazungu ni yupi anayeenda kwa mwenzie kila siku? Ulishawahi kuona wahamiaji wa Kizungu Nchi za Afrika?

Muda mwingine kuweni serious

Hivi Dr hauwezi kuongea au kushauri bila kuleta maneno ya kejeli kwa mtoa hoja au mada? Watu wengi wanao-attach mtu kwenye hoja mara nyingin wanajenga defense mechanism ,hivi kulikuwa na ulazima wa kusema muone huyu masikini? Kwani wewe tajiri na mimi masikini tunavuta hewa tofauti? Ukifa wewe tajiri unazikwa hewani?

Hivi ni sehemu ya kubet tu ndiyo wanadanganyana? Mbona yule mama wa Airport alimdanganya Magufuli kwamba Scanner inafanya kazi? Mbona hadi Bungeni wabunge wanadanganya hadi speaker anawaambia walete ushahidi au wafute kauli na inatokea mbunge anafuta kauli?

Sijui kada yako unayofanya kazi kama inafanya interaction na ngozi nyeupe ila nahisi kama huna interfaction nao ndiyo maana ukasema hakuna wahamiaji africa,fyi hao ngozi nyeupe wakishakuja africa huwa hawapendi kurudi kwao maana wanaona africa maisha ni mazuri sana compare na kwao.

Kuna clip moja sema nimeshindwa kuipata kuna mzungu alishwahi kuulizwa kuhusu bara la africa akasema yeye anapenda waafrica wote wafe,

Ushauri wangu ,ukitaka kuwa mchangiaji mzuri humu JF epuka sana ku-attack watu ,jikite kwenye hoja hapo utakuwa mchangiaji mzuri ila ukiwa una attack watu unakuwa unaonekana kwamba huna hoja ,watu wenye hoja hujikita zaidi kutoa hoja ili watu wapate kujifunza.
 
Mi sijafaidika ila najua kuna watu kwa ground ambao hawa comment ila wanatazama haya wana cha kujifunza

Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.

Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).

Hivyo hata Mungu anapendezwa jinsi navyowasagia kunguni sina cha kupoteza kabisa
Hebu nipishe.
Waueni basi tujue mna hasira za maana...maneno mengi vitendo zero, na wengi wanapinga kumbe ndo mabasha wenyewe.
 
Daily niko dillema na sitaacha kuwa dilema mpaka siku nikijibiwa na hii serikali .

Ndugu nafanya kazi sehemu ambayo nilihamia nilikuta kuna taasisi binafsi inayokuja hapa kuwafariji hawa wakuitwa mashoga wanapewa hela na zawadi .

Simply because nilikuwa mgeni nisingeweza kuhoji ila baada ya kupewa mikoba nikahoji uwepo wa hii taasisi nikapewa barua ya hiyo taasisi pamoja na barua kuroka serikalini kwa maana kwenye uongozi wa juu ukitaka hii taasisi ipewe ushirikiano katika shughuli zake .

Dear friends , naheshimu sexuality ya mtu hasa mtu awe shoga au asiwe ila ukweli ni kuwa sipendezwi na mtu shoga , sasa kinachoniuma kila hawa masponsor wa mashoga wanapokuja wanawaita watu wao wanakutana hapa kazini na kupewa haki zao hususani hela na zawadi pamoja na kufarijiwa kuwa ipo siku watakuwa huru katika ardhi ya Tanzania .

Pia wanaambiwa if kuna wenzao wanaowajua basi wasisite kuwaleta wajiunge hapo .

Ukweli ni kuwa vijijini kote kwenye vituo vya afya na hizi Zahanati kuna taasisi nyingi zenye baraka toka serikalini zinazokuja kupromote haya mambo .

Ndiyo maana sina uwezo wa kupingana na Mwakyembe kwa hilo japo najua anatuchora sababu yeye anajinasibisha kuwa serikali haiwajui wahusika kitu ambacho sio kweli .

Alison stop making Tanzanians fool , huko unakojaribu kuibukia tutakuanika hapa jamvini sababu Kyela na Tukuyu hakuna lisilojulikana out of unavyohisi ni siri ila ushahidi na kila kitu kipo .

So fanya kiki zingine sio haya.
Duh!
Kwamba siri-kali inajua na inawapa ushirikiano 🙄
 
Juzi wakati narudi safari nikashukia buguruni sheli dada mmja nikasikia alisema wewe baba twende kufira ni shs .....nilihisi kuishiwa nguvu sikutegemea kukutana na jambo la namna hii
 
Dr sorry ulimsikiliza yule muandishi vizuri? Alisema ili kuthibitisha alienda kwa Mkemia mkuu kwa ajili ya kuvipima vile vitu walivyokuwa wanagawa ,na mkemia mkuu alithibitisha vinachochea sana mwanamme kuongezeka hormones za kike.

Nikupe mfano ,kuna hormone inaitwa adrenaline hiyo inaongezeka/kuzalishwa zaidi kukiwa na hatari ,napenda kukwambia pia binadamu yeyote ana hormones za kike na za kiume ila mwanammke anakuwa na hormones za kiwango kikubwa za kike na kidogo sana za kiume ,hivyo hivyo kwa mwanamme naye anakuwa na hormones za kiume nyingi kuliko za kike ,kwahiyo hao wafadhili wa ushoga wanatengeneza perfumes/dawa za meno/mafuta ambazo zinachochea uzalishwaji wa hormoes nyingi za kike kwa mwanamme ,hii ni bioloji tu ya form One C.
Na mimi ndio nakwambia hakuna kitu kinachoitwa kutengenezwa hormone ili uwe shoga, hakuna, hakuna, hakuna, ushoga hausababishwi na hormone moja kuzidi nyingine,

Katafiti tena kisha uje
 
Hebu nipishe.
Waueni basi tujue mna hasira za maana...maneno mengi vitendo zero, na wengi wanapinga kumbe ndo mabasha wenyewe.
Mi nimemaliza nafanya ninachoona ni bora zaidi kwaiyo sisi tunaopinga ndo mnataka kusema ni mabasha hao

mashee wote ni mabasha sio wachungaji wote ni mabasha sio
Magufuli alivyopinga alikuwa basha sio
Yoweri museveni ni basha sio
Ruto ni basha sio
Makonda naye alikuwa basha sio
Hitler naye alikuwa basha sio
Fidel castro naye ni basha sio

Daaah kweli asee nimeamini jf kuna wapumbavu wengi duuuh what a loss

Anyway mi nishamaliza sibishani tena na ww

Endelea kufunga ubongo wako ila ukweli ndo huo

Ova
 
Hakuna bora lolote ulilofanya hadi sasa zaidi ya kelele.
 
Sasa miaka hiyo yote mlikuwa wapiiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnachekeshaa kweli.
TULIKUWA TUNA JENGA UCHUMI,
WAKATI WAO WANAWEKEZA KWENYE MATAKO!
 
Na mimi ndio nakwambia hakuna kitu kinachoitwa kutengenezwa hormone ili uwe shoga, hakuna, hakuna, hakuna, ushoga hausababishwi na hormone moja kuzidi nyingine,

Katafiti tena kisha uje

Siwezi kufanya utafiti wakati Mkemia Mkuu alishafanya huo utafiti kwenye hizo biadhaa alizoleta huyo Mzungu aliyewaoa kina Noel....Muandishi alikuwa na gut ya kumtaja Mmkemia kwasababu alienda kwanza na ndipo akapewa hayo majibu na mkemia ,wewe kama unapinga mtafute muandishi akube hizo bidhaa ukafanye utafiti kisha uje na majibu ya kumpinga with findings.

Mabaunsa kuna dawa wanakula za kutunisha misuli(kuongeza body) zina chemical za kuongeza hormnoes za kike na at the end wanakuwa mashoga ,perfumes /mafuta tunazopaka some absorbed na body na ndiyo maana kuna baadhi ya cosmetic zanye zebaki/hydroquione serikali ilizuia coz zinaleta effect mwilini(inside body) hasa kwa wajawazito.

Kwahiyo siyo mpaka bidhaa uinywe ndiyo ilete effect ndani ya mwili hata ukipata au kupuliza some of the content inakuwa inafyonzwa na mwili(ni bioloji ya form i C hii).
 
Hivi Dr hauwezi kuongea au kushauri bila kuleta maneno ya kejeli kwa mtoa hoja au mada? Watu wengi wanao-attach mtu kwenye hoja mara nyingin wanajenga defense mechanism ,hivi kulikuwa na ulazima wa kusema muone huyu masikini? Kwani wewe tajiri na mimi masikini tunavuta hewa tofauti? Ukifa wewe tajiri unazikwa hewani?

Hivi ni sehemu ya kubet tu ndiyo wanadanganyana? Mbona yule mama wa Airport alimdanganya Magufuli kwamba Scanner inafanya kazi? Mbona hadi Bungeni wabunge wanadanganya hadi speaker anawaambia walete ushahidi au wafute kauli na inatokea mbunge anafuta kauli?

Sijui kada yako unayofanya kazi kama inafanya interaction na ngozi nyeupe ila nahisi kama huna interfaction nao ndiyo maana ukasema hakuna wahamiaji africa,fyi hao ngozi nyeupe wakishakuja africa huwa hawapendi kurudi kwao maana wanaona africa maisha ni mazuri sana compare na kwao.

Kuna clip moja sema nimeshindwa kuipata kuna mzungu alishwahi kuulizwa kuhusu bara la africa akasema yeye anapenda waafrica wote wafe,

Ushauri wangu ,ukitaka kuwa mchangiaji mzuri humu JF epuka sana ku-attack watu ,jikite kwenye hoja hapo utakuwa mchangiaji mzuri ila ukiwa una attack watu unakuwa unaonekana kwamba huna hoja ,watu wenye hoja hujikita zaidi kutoa hoja ili watu wapate kujifunza.

Acha kujinyongesha na wewe, sipendi watu wanaojitilisha huruma bila sababu hiyo 'maskini' haipo hapo kama hali bali imetumika kama kivumishi, (umehurumiwa) sasa mambo ya utajiri, hewa yametoka wapi? Kama upo soft heart kaa mbali na mijadala ya hivi, utapata presha shauri zako,

Wewe huwezi kunipa mimi ushauri nipo jf tangu mwaka 2014, ushauri wako ukurudie wewe mwenyewe mimi sihitaji kujitilisha huruma ili nionekane mchangiaji bora, nachangia kulingana na mada,

Fyi, boss wangu mwenyewe ni mzungu usiniambie kuhusu ngozi nyeupe nawajua vema,
Umeulizwa swali jepesi sana kati ya Wazungu na Weusi ni wakina nani wanajazana kwenda kwa wengine? Unasema eti Weupe wakija hawataki kurudi lol wangapi hao si tungekua tunapishana nao kila pembe kama sie tulivyojazana kwao,

Endelea kujifariji lakini ni nzuri kwa Afya yako ya Akili [emoji847]
 
This is far-fetched.

Kwanza ijulikane estrogen (female hormone) hata wanaume wanazo naturally and vyakula vya Kila siku vina ongeza estrogen kwa wanaume na bado wengi tu sio mashoga. Haiwezekani a one time dosage tena ya toothpaste na perfume imfanye mtu awe shoga. Haiwezekani. Halafu wewe mwanaume na ndevu zako unakubali zawadi ya perfume na toothpaste kweli? It will take a truckload of it kumgeuza mtu awe shoga.

Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?

Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No more, no less. Msikimbie majukumu yenu. Mashoga wengi wameanza hii michezo majumbani mwao sio shuleni wala sehemu nyingine.

Kila research Ina agenda yake sijui huyu dada agenda yake ni ipi. Itakua kasoma upepo kaona mitanganyika inapenda story za ushoga kajiongeza.
 
Siwezi kufanya utafiti wakati Mkemia Mkuu alishafanya huo utafiti kwenye hizo biadhaa alizoleta huyo Mzungu aliyewaoa kina Noel....Muandishi alikuwa na gut ya kumtaja Mmkemia kwasababu alienda kwanza na ndipo akapewa hayo majibu na mkemia ,wewe kama unapinga mtafute muandishi akube hizo bidhaa ukafanye utafiti kisha uje na majibu ya kumpinga with findings.

Mabaunsa kuna dawa wanakula za kutunisha misuli(kuongeza body) zina chemical za kuongeza hormnoes za kike na at the end wanakuwa mashoga ,perfumes /mafuta tunazopaka some absorbed na body na ndiyo maana kuna baadhi ya cosmetic zanye zebaki/hydroquione serikali ilizuia coz zinaleta effect mwilini(inside body) hasa kwa wajawazito.

Kwahiyo siyo mpaka bidhaa uinywe ndiyo ilete effect ndani ya mwili hata ukipata au kupuliza some of the content inakuwa inafyonzwa na mwili(ni bioloji ya form i C hii).
Hivi wewe unajielewa kweli?
Mabaunsa wanatumia dawa za kutumisha misuli baadae wanakua mashoga unajisikia hata unachokiandika?

Nipe maana ya Ushoga kwanza ili nijue kama una uelewa au ndio wale wale wa vijiwe vya kahawa na kubet
 
Huo utafiti wao umeleta tija gani kwa taifa?
Watu wanalia hawana Umeme, maji, huduma za Afya mbovu, rushwa imetamalaki, tozo ndio usiseme ila mtu anatumia nguvu kubwa kutafiti mashoga halafu iweje sasa, hebu wewe nambie ushajua fulan ni shoga je unaongeza nini na kupunguza nini kwa maisha yako

Mkuu waulize swali moja tu la msingi; ni nani humu ndani anamjua shoga hata mmoja tu personally achana na hawa wa mitandaoni? Watu wanaua nzi kwa nyundo kwenye hii ishu. Wanatumia nguvu kubwa kupambana na a non-existent issue wakati mambo ya msingi yapo kibao ya kujadili yanayomgusa kila mmoja.
 
Hivi mizungu iwafanye nyie muwe mashoga kwa umuhimu gani hasa?

Wanasema Wazungu wanataka tupotee wote halafu wao waje kuishi Africa sababu Africa kuna resources nyingi wanazitaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Nimewauliza pia wale Mashoga wa Sodoma na Gomora Wazungu nao waliwapa Dawa za Meno na Perfumes?

Wameishia kutukana [emoji28]
 
Back
Top Bottom