Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They share the same interest/ hobbiesKuna uhusiano gani kati ya Mapunga na Ke, mbona huwa wana urafiki sana na Ke?
Mbona palepale alisema anapeleka serikalini na akaanza kutaja majina ya taasisi zote zinazozalisha mashoga na wasagaji nchini.sijasoma habari hiyo, waleta habari naona hawajaleta humu
Wacha akemee ushoga, siasa weka pembeniHuyu Mwakyembe bado yupo kwenye anga za Siasa? Ni leftover kwa sasa!
Yaani unaona kudeal na nguvu kazi ya taifa inayoharibika sio jambo la maana?
Wataajiriwa kina nani ikiwa vijana wanajiingiza kwenye Ushoga na kusagana?
Kilimo wataendesha akina nani?
Grow up
mdada mwenyewe kajikoboa kama NDULELEHawa ni mashujaa katika hii vita,Huyo dada nimemkubali ni jasiri sana,tuwaunge mkono kwenye haya mapambano
Amemtaja nani??Ameshataja.
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tupeni taarifa, ni jina la nani huyo, sasa huyo atakuwa shoga gani mpaka atangazwe wakati wenzake wa ulaya na amerika wanajitangaza hadharani bila woga? Tena wa ulaya na amerika unakuta ni maarufu duniani. Kama vipi mashoga ya tanzania yajitangaze yenyewe tu sio mpaka yatangazwe na akina mwakyembe
Banned nilitokaa leoo? PoleeeeeUmeshatoka kwenye banned
Ngoja nikuitie mods[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh kwa kutesekaaaaFala wewe,nitakupeleka kwa Mwamposa kwa nguvu,ukaombewe
Kwa mtazamo wangu ushoga huwezi kuuondoa au kuumaliza kwa sheria kali au ngumu. Ushoga utapungua kwa malezi mazuri, ushauri, elimu kwa vijana, wazazi, walezi na jamii. Utaendela kwa chini chini, tena hiyo inaweza hatari zaidi; kuwawekea woga wa kushindwa kusema na kuwasaidia.Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.
Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote
USSR
----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini
Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana
Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo
Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka
"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi
Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto
Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke
Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi
Chanzo: Jambo TV
Kataja tasisi zote zinazozalisha mashoga na wasagaji na zote zimesajiliwa.Amemtaja nani??
Na wewe funguka.cocastic hebu weka wazi, we ni mwanaume au mwanamke, mbona mwandiko unaonekana ni wa kike? Ina maana we ni mwanamke unayeshabikia ushoga. Mara nyingi wanawake wa hivi na wasagaji au makahaba. Wasagaji/makahaba na mashoga lao moja na ndiyo maana unaweza kuwakuta wako pamoja sehemu fulani bila kuleteana tofauti. Sasa wewe cocastic ni shoga kweli au ni msagaji/kahaba?
Mojawapo ya kampuni aliyotolea mfano ni HICAP, inayohudumia wazee, sikuwahi kudhani kama nao ni Washenzi hiviKataja tasisi zote zinazozalisha mashoga na wasagaji na zote zimesajiliwa.
Tumjengee sanamu huyu dadamdada mwenyewe kajikoboa kama NDULELE View attachment 2571837