Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

Kama ni kweli basi tatizo hili limeachwa na kuwa kubwa !! Dawa ya hawa ma-bwabwa ni kuwashughulikia kimya kimya ili bwana zao wasijue.

Ile style yetu ya kimbiza mwizi buguruni
 
Mashoga, wasagaji, wafiraji, nk nk, ni vichaa kama vichaa wengine.

Ni hatari kumpa uhuru kichaa, wanatakiwa wadhibitiwe sababu wanaweza kuleta madhara makubwa Kwa uzao wetu Kwa vizazi vijavyo.
 
sijasoma habari hiyo, waleta habari naona hawajaleta humu
Mbona palepale alisema anapeleka serikalini na akaanza kutaja majina ya taasisi zote zinazozalisha mashoga na wasagaji nchini.

Sasa ataje vipi tena zaidi ya hivyo? Angetaja majina mangapi? Kataja taasisi zenyewe na zote zimesajiliwa, viongozi wake bado tu hawajajulikana?
 
Yaani unaona kudeal na nguvu kazi ya taifa inayoharibika sio jambo la maana?

Wataajiriwa kina nani ikiwa vijana wanajiingiza kwenye Ushoga na kusagana?

Kilimo wataendesha akina nani?

Grow up

Nilikua narafiki yangu kipindi hichooo yeye ni shoga anapigwa miti huko arabuni lakin aliniambia yeye ni dereva wa magar yale yanayopitisha vifaa vya kijeshi na mashoga wako wengi sana jeshini wanapigana miti vizuri tu!
Nadhani hili la ushoga halina muingiliano na uvivu au ukakamavu wa mtu isipokua tu ni mtu mwenyewe!
Napinga sana ushoga kwa nguvu zote kiasi kwamba nachukia kuona ushoga umekua ajenda kila kona ya nchi dah!
Maoni yangu tusiongelee kabisa hii habari maana tukiongea hata kama tunaipinga au tunaisifia bado ni kuisambaza! Tupige kimya!
Mtu hawezi kujua kitu ambacho hakijui!
Tukiendelea kusema hata watoto watataka kujua ndiyo nini na kutokana na hilo kuna watakaoingia wengi kwa mkumbo!


Angalia vidio za ngono zinavyoshawish kufanya ngono je za ushoga kwa watoto?
Zaman tulikua tunajua shoga anazaliwa hivyo lakin sikuhiz ushoga inafundishwa kama somo! What a shame jaman dah!
 
Wanaomnanga mh mwakiembe wengi ni waathirika wa moja kwa moja, kwa namna moja au nyingine! Nimesadiki!
 
[emoji55][emoji55][emoji55][emoji41]
JamiiForums2127491895.jpg
 
tupeni taarifa, ni jina la nani huyo, sasa huyo atakuwa shoga gani mpaka atangazwe wakati wenzake wa ulaya na amerika wanajitangaza hadharani bila woga? Tena wa ulaya na amerika unakuta ni maarufu duniani. Kama vipi mashoga ya tanzania yajitangaze yenyewe tu sio mpaka yatangazwe na akina mwakyembe
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waziri wa zamani wa wizara mbalimbali amesema kuna chama la mashoga hapa Tanzania na wana uongozi wao wa kitaifa na kimataifa, kimkoa na kiwilaya atawataja na kukabidhi majina yao kwa mamlaka husika ili wachukue hatua.

Amesema anayo majina yao wote namba zao za simu na washirika wao wote

USSR

----
Mashoga wana mkurugenzi mkuu wao kabisa wa kuendeleza masuala ya ushoga Tanzania, jina lake ninalo na hata namba yake pia, nitawasilisha serikalini. Pia kuna wenyeviti wa mikoa na mtandao wa ufuatiliaji hadi vijijini

Kuna wahamasishaji wa masuala ya ushoga ngazi ya kanda, ninayo orodha ya majina yao pamoja na namba zao za simu. Na wahamasishaji hawa wapo kwa miaka mingi tu, naomba mtambue ndugu zangu hali ni mbaya sana

Kuna dodoso maalum la masuala ya ushoga ambalo ukilijaza linapelekwa Marekani, na pia kuna mwongozo maalum wa mafunzo ya mabadiliko ya tabia na mawasiliano ya wanaume wanaofanya ngono na wanaume wenzao, mwongozo huo upo

Na tumekaa na vijana ambao ni mashoga, niwaambie tu wanatamani kabisa kurudi katika hali ya zamani, ukimuuliza aliingiaje, mwingine anakwambia nilianza kidogo kidogo darasa la tatu hata sijui niliingiaje, na natamani kurudi. Ukimsikiliza machozi yanataka kutoka

"Sheria yetu ya kudhibiti ushoga inahitaji marekebisho, inapaswa kuwa na meno ya kutosha na kung'ata. Mfano kwa msagaji adhabu yake ni kati ya mwaka mmoja na miaka mitano jela au faini kati ya shilingi laki moja na laki tatu, na sheria hii inaangalia zaidi kufanyika kwa tendo, kuna umuhimu ikaangalia na mazingira ya kupelekea jinai hiyo kufanyika, na mara nyingi anakamatwa shoga lakini baasha hakamatwi

Kwa kufuru,upuuzi, uchafu na uasi na ushetani unaoufanywa na wanadamu hapa duniani, unafanya yaliyofanywa na Sodoma na Gomora kuwa 'cha mtoto

Kule Marekani, watoto wa miaka 5-7 wanafundishwa kwamba, umezaliwa na sehemu za siri za kiume lakini ukijisikia na ukipenda, unaweza ukaamua kuendelea kuwa mwanaume au la, na unaweza ukaoa mwanaume au mwanamke


Mwaka 2016 Serikali yetu ilimfukuza mwakilishi wa Mfuko wa Ukimwi wa Rais wa Marekani alituharibia watoto wetu sana, lakini sasa kuna mwanaume mwingine kutoka Marekani yupo hapa Dar es Salaam anatuharibia watoto wa kiume, na taarifa zake tumeshaziwasilisha polisi

Chanzo: Jambo TV
Kwa mtazamo wangu ushoga huwezi kuuondoa au kuumaliza kwa sheria kali au ngumu. Ushoga utapungua kwa malezi mazuri, ushauri, elimu kwa vijana, wazazi, walezi na jamii. Utaendela kwa chini chini, tena hiyo inaweza hatari zaidi; kuwawekea woga wa kushindwa kusema na kuwasaidia.
Labda nitoe mfano; umalaya hautakwisha kwa njia ya sheria na kufunga watu. Ni ngumu sana serikali kumaliza jambo hili la uasi au dhambi. Dhambi haiondoki kwa fimbo au kwa sheria ngumu. Nafikiri kwa kuwa hata wenzetu hata naamini walipinga sana, lakini wakafikia kushindwa, labda ndio maana wakaruhusu.
Ndio maana Biblia iko wazi sana kwanini Yesu Kristo alikuja duniani katika mwili. Alikuja kuzivunja nguvu za dhambi. Mtu ye yote alinayemaanisha na kuamua kumfuata kwa moyo huwa anaweza kushinda dhambi hii. Tumeona watu wameshinda na kuacha. Kuna rfaiki yangu mmoja ambaye alinieleza jinsi alivyokuwa anajihusisha kwa ushoga akianza akiwa mdogo. Kwa neemea ya Mungu akampokea Yesu na kuamua kwa kumfuata kwa maanisha alishinda, na pia likuwa antangaza juu ya hali iliyompata. Mungu anaweza kutusaidia lakini sio sheria. Sheria haijawahi kushinda dhambi yo yoye, tangu iwekwe,
Narudia tena ushoga hauondoki au kwisha kwa sheria au adhabu kali.
Dini husaidia sana watu kuondoka na tabia hii. Nimeona na kusikia watu wengine wwaliobadilika sababu ya kuamua kuweka juhudi katika kumtegemea Mungu; ingawa kuna baadhi bado wanapambana, hata kama unamwona anafanya lakini anatamani kuacha.
Ombi tusiwanyanyapae mashoga, bali tafuta jinsi ya kutoa ushauri nasaha na ikiwezekana kuwatumia watu ambao waliwahi kufanya hivyo baadaye wakaacha kama wapo. Wengi walioacha wanaona aibu kuzungumza kadamnasi, wanweza kutiwa moyo ili kusema kwao kuwasaidia wengine.
Fanya hivi kama tunavyofanya kwa watumiaji wa madawa ya kulevya.
Elimu ya kutosha inatakiwa kufanyika na juhudi za makusudi, na hasa kumjua Yeye aliyekupa uhai wa kuishii duniani.
 
cocastic hebu weka wazi, we ni mwanaume au mwanamke, mbona mwandiko unaonekana ni wa kike? Ina maana we ni mwanamke unayeshabikia ushoga. Mara nyingi wanawake wa hivi na wasagaji au makahaba. Wasagaji/makahaba na mashoga lao moja na ndiyo maana unaweza kuwakuta wako pamoja sehemu fulani bila kuleteana tofauti. Sasa wewe cocastic ni shoga kweli au ni msagaji/kahaba?
 
cocastic hebu weka wazi, we ni mwanaume au mwanamke, mbona mwandiko unaonekana ni wa kike? Ina maana we ni mwanamke unayeshabikia ushoga. Mara nyingi wanawake wa hivi na wasagaji au makahaba. Wasagaji/makahaba na mashoga lao moja na ndiyo maana unaweza kuwakuta wako pamoja sehemu fulani bila kuleteana tofauti. Sasa wewe cocastic ni shoga kweli au ni msagaji/kahaba?
Na wewe funguka.
 
Back
Top Bottom