Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

Ninayo furaha kubwa baada ya Rais samia kutunukiwa PhD ya heshima pale UDSM.
Screenshot_20221130_131415.jpg

Sasa utakua ni mwendo wa hivi; Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DR. SAMIA SULUHU

😋😋Rais DR. Samia Suluhu, sasa amekua ni university mate.

Tutulie sasa kwa muda. 😋
 
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.

Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Yale yale ya Mzee wa msoga,alipokalibia kwenye uchaguzi 2010!kila Kona amebqnwa na wagalatia wenye PHD za kisomi,akaona isiwe tabu,game likapangwa na yeye akapewa moja ya heshima!!
Watu wenye PHD za kisomo,huwa hawazitangazi!ni wachache sana wanajua kwamba William Ruto ,Rais wa Kenya,ana PHD!lakini ni mala chache sana kuona akiitwa kwa cheo hicho
 
Kumbe JK Ndio katoa Hiyo PhD!!?

Huyo ni msanii! Anamjibu Dr. BASHIRU Ally kiaina!!

Sisi tumemwelewa!
 
Hivi videgree vya heshima siku hizi havina hata mvuto , uzuri Ni kwamba havina mvuto wowote kwa watanzania

Kipindi Cha nyerere ukisikia mtu kapewa kila mtu anafatilia sio Tanzania hata afrika mzima inajiuliza huyu Ni Nani? Kwa Nini kapewa? Kafanya Nini? Yaani ilikuw bonge la heshima

Ila kipindi Cha kikwete , magufuri na Sasa watu wanaona hamna kitu, Ni udaktari wa heshima wa ccm tu, kusifu na kuabudu

CCM wameharibu Sana elimu yetu
'
20221127_091458.jpg
 
Back
Top Bottom