Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

Safi sana kamahujaipenda hiyi habari basi kazikwe naye pembeni Chato
 
Kwanza hata nikiupata udaktari wa kukaa darasani bado sitashobokea kuitwa Dr. Chige.... I'll make the public honor me with my work rather than my title!

Upo hapo, First Born!!
Huu wa kupewa bure lengo lake ni show off
Ule wa kutafuta mara nyingi wenye nao hutaona wanahangaika kujiita.

Sasa 1st born,si unitunuku tu na mimi nitambe nao mtaani[emoji16]
Nipe connection.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Anastahili kwa heshima kwa kuturudisha tulipoishia awamu ya nne,,,"Kazi iendelee" ni slogan ambayo inaakisi kuwa tume resume katika awamu ya uozo
 
Ninayo furaha kubwa baada ya Rais samia kutunukiwa PhD ya heshima pale UDSM.
View attachment 2431589
Sasa utakua ni mwendo wa hivi; Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DR. SAMIA SULUHU

😋😋Rais DR. Samia Suluhu, sasa amekua ni university mate.

Tutulie sasa kwa muda. 😋
Hivi hawa ADC anao wawili? Huyu wa leo (aliyepiga saluti) siyo yule ambaye huwa tunamuona siku zote
 
Back
Top Bottom