Hata kwenye hotuba zake alisikika akisema yeye hataki vya bure bure.Bora Mwendazake alifanya efforts flani kupata “U-daktari” wake. (Japo wapo wapingao). Wengine wanapewa tu bila kufanya lolote la maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwenye hotuba zake alisikika akisema yeye hataki vya bure bure.Bora Mwendazake alifanya efforts flani kupata “U-daktari” wake. (Japo wapo wapingao). Wengine wanapewa tu bila kufanya lolote la maana.
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5...
Yes. Naye kapewa na chuo kimoha huko India. Waonaambiwa alimradi uwe na pesa.
Hakika Anastahili katika hili maana nimewahi kupendekeza kupitia jukwaa Hili kuwa Chuo kikuu Cha Dares Salaam kimpatie shahada ya udaktari wa Heshima kwa kazi kubwa aliyoifanya nchi yetu
#Honorary causaHatimaye Mgao wa Maji na Umeme wazalisha PhD mpya , Hii Africa inatisha kwa Maajabu !
Kwanza unatakiwa ukubaliane na machache aliyoyafanya na ujiulize na wewe umeifanyia nini nchi hiiAliyeidhinisha kutoka Senate ni Kikwete, mkuu wa chuo, ambae nae alipewa hivyo hivyo pale Udom na Mkapa.
Sababu zikitajwa kua
1. Mchango mkubwa kwenye elimu
2. Kutatua changamoto kubwa kwenye jamii...
Ni sifa,maana wapiga kura ni mambumbumbu.Mbona Ulaya hawatumii haya majina ya Dr, Prof kwa viongozi?
Je kwa Afrika ni sifa?
Hii ndiyo tofautikubwa iliyopo kati ya hawa wanaopeana digrii za kimchongo na wanaopata hizo digrii kwa heshima stahiki.
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Rais Samia amemshukuru Dkt. Kikwete na baraza la seneti la chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kumpendekeza kupata tuzo hiyo na aliikubali kwa sababu siyo ya kwake pekee bali watanzania.
Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hiyo lakini muda haukumpa nafasi
It's both.Such acknowledgement, in the form of an honorary doctorate, can result in criticism if it appears to be awarded as a favor or to gain funding.
VivaaaaaaaaaaShe has been my doctor since upepo na matumaini yangu kama kijana yalipofufuka. I was Desperate with life kabla ya mwaka na miez kadhaa iliyopita. Akaletwa na Nguvu iitwayo Mungu nikakombolewa. She is the Dr. Na chench inabaki. Viva Her Exelence Dr. Samia Suluhu Hassan. [emoji7][emoji7]
Dr Hangaya...Itapendeza sana!. 🤣Na yeye bila aibu ataona poa tu, tena atapendwa kuitwa Dr. Suluhu au Dr. Samia.
Huko Jalalani wa tuambie... Wakati wa JPM walisemaje..... Yaani tumeshushwa Daraja to uchumi wa kati kurudi tulikokuwa halafu bado kuna mtu anatumia Uchumi kumpatia sifa Rais.... Yaani hata wa Jalalani wanatuona Watanzania ni Mafala tu.
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Rais Samia amemshukuru Dkt. Kikwete na baraza la seneti la chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kumpendekeza kupata tuzo hiyo na aliikubali kwa sababu siyo ya kwake pekee bali watanzania.
Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hiyo lakini muda haukumpa nafasi
Pia, soma=> Chuo kikuu Cha Dar es salaam kimpe Rais Samia Udaktari wa Heshima katika uongozi na mahusiano ya kimataifa