Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hongera zake...Ukweli anastahili kwani kuwa Rais wa nchi si kila mtu anaweza....Hongera MAMA...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zake...Ukweli anastahili kwani kuwa Rais wa nchi si kila mtu anaweza....Hongera MAMA...
ItakuaHivi hawa ADC anao wawili? Huyu wa leo (aliyepiga saluti) siyo yule ambaye huwa tunamuona siku zote
Nchi nchi ngumuCc Saint Anne [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenye vichwa vyetu tumekuelewa. Kuna pia Dr msukumaNimeongea kwa mafumbo.
Kwahiyo unataka kusema hii ndio imechangia PHD??
Useri ya Kihesa karibu na kwa mzee MgayaUsseri ndio kwetu!
Kwahiyo unataka kusema hii ndio imechangia PHD??
Ametunukiwa au amekabidhiwa?Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nadhani itakuwa Doctorate ya Mgao wa Maji na Umeme.
Hizi PhD za mchongo nyingi zilianza enzi za utawala wa Kikwete!Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya...
Hivi hawa ADC anao wawili? Huyu wa leo (aliyepiga saluti) siyo yule ambaye huwa tunamuona siku zote
Hakika Anastahili katika hili maana nimewahi kupendekeza kupitia jukwaa Hili kuwa Chuo kikuu Cha Dares Salaam kimpatie shahada ya udaktari wa Heshima kwa kazi kubwa aliyoifanya nchi yetu
Eti mchango kwenye jamii.Aliyeidhinisha kutoka Senate ni Kikwete, mkuu wa chuo, ambae nae alipewa hivyo hivyo pale Udom.
Sababu zikitajwa kua
1. Mchango mkubwa kwenye elimu
2. Kutatua changamoto kubwa kwenye jamii.
Sababu ya tatu sijaisikia vizuri lakini tujadili haya yenye kustahili hii doctorate
Umeme, maji, TOZO, uchumi kushuka, ile hotel mbovu ya dodoma imegharimu bil. 9.7 na sasahivi inakarabatiwa kwa fungu jingine, daraja la juzi bil. 7.2, mfumuko wa bei kwenye kila kitu. Hayo ni kwa uchache tuu.
Hiki ni kiwango cha juu kabisa cha kumpaka mafuta.Kaka Nina family inanitegemea haha
Mnoo 🤣🤣