Walker Water
JF-Expert Member
- Aug 23, 2022
- 842
- 3,357
Sasa inakuaje mwenye PhD ya kupewa naye anampa mwenzake.Wenye zao za halali wametulia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia Suluhu amestahili stashada hii
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Rais Samia amemshukuru Dkt. Kikwete na baraza la seneti la chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kumpendekeza kupata tuzo hiyo na aliikubali kwa sababu siyo ya kwake pekee bali watanzania.
Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hiyo lakini muda haukumpa nafasi
Pia, soma=> Chuo kikuu Cha Dar es salaam kimpe Rais Samia Udaktari wa Heshima katika uongozi na mahusiano ya kimataifa
Acha mawazo ya ajabu hiyo PHD ameipambania kwa muda mrefu sanaSasa inakuaje mwenye PhD ya kupewa naye anampa mwenzake.Wenye zao za halali wametulia tu
Kwa hiyo ukipendekeza ndo jambo jema? Ni uchafu tu na hongo za teuzi. Anayetaka PhD, ajisajili aingie darasani! PhD ni kichwani siyo kupewa na ukaamini.Hakika Anastahili katika hili maana nimewahi kupendekeza kupitia jukwaa Hili kuwa Chuo kikuu Cha Dares Salaam kimpatie shahada ya udaktari wa Heshima kwa kazi kubwa aliyoifanya nchi yetu
😁Yes. Naye kapewa na chuo kimoha huko India. Waonaambiwa alimradi uwe na pesa.
Utasakwa 🤣🤣🤣 twende tukale tu maku haya mengine tuwaachie wenyewebunch of bullshit
waje wanidake niko Mvuti, nikale ugali wa bure mtaani kugumuUtasakwa 🤣🤣🤣
twende tukale tu mbususu tu 😅😅😅 ukiwaza ya hii nchi kichwa kitakuuma burewaje wanidake niko Mvuti, nikale ugali wa bure mtaani kugumu
Kumbe walikuwa wanamtamani sana Dk JPM?
Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya.
Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25, kusaini na benki ya dunia mradi wenye thamani ya bililioni zaidi ya 900 wenye lengo la kuboresha elimu ya juu.
Rais Samia amemshukuru Dkt. Kikwete na baraza la seneti la chuo kikuu cha Dar es Salaam kwa kumpendekeza kupata tuzo hiyo na aliikubali kwa sababu siyo ya kwake pekee bali watanzania.
Rais Samia alisema alijaribu kutafuta shahada hiyo lakini muda haukumpa nafasi
Pia, soma=> Chuo kikuu Cha Dar es salaam kimpe Rais Samia Udaktari wa Heshima katika uongozi na mahusiano ya kimataifa
Usseri kingachi, kirongo juu, kwalakamu, ubetu au ipi?Usseri ndio kwetu!
Watu wanazipenda PhD ila hawataki kuzisotea.Za kupewa bure huwa zina amsha fulani
Hadi akina Musukuma wanasema Bashiru ana PhD kama ya kwake[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kusoma tena wakati za bure zipo wee! Kuna mtu nilikuwa namuona anavyohangaika alipomaliza nilimpongeza sana.Watu wanazipenda PhD ila hawataki kuzisotea.
Kama mtu anataka kuwa Dr. kwa nini asirudi shule aisotee badala ya kutumia cheo au kununua.
Msukuma kupata PhD darasani a ahitaji kukaa shule miaka miaka 13. Sasa leo kupewa bila kuzitolea jasho ni pathetic. Halafu inaonekana kabisa kuwa watu wamekubali kuwa Msukuma ni Dr..... Seriously!!
PhD za Shuleni zimebaki kwa wanasayansi tuWatu wanazipenda PhD ila hawataki kuzisotea.