Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

Wenye Jicho la 3 tunajiuliza sana wakati huu mgumu nchi haina maji ya uhakika,haina umeme wa uhakika,malalamiko kila sehemu maprofesa walokuwa pale udsm kweli wanawezaje kukubaliana na hili#Bora kujiamisha fahamu kuwa upo Qatar unaangali mechi za round ya 3 kuliko kusikiliza mambo kama haya
 
Tutafute connection, PhD unapewa na sio kusomea.
 
Tutafute connection, PhD unapewa na sio kusomea.
Kuna Threads zangu Mbili za Michezo umenidhihaki kwa Kushirikiana na unaifanana nao kwa Akili mbovu hapa JamiiForums nashangaa Kukuona katika huu Uzi Kinafiki kabisa ukijifanya Kuunga mkono nilichokiandika.

Nashauri Wanafiki na Wapumbavu wote mnaonichukia hapa JamiiForums tafadhali acheni kuwa Mnashobokea Mada ( Threads ) zangu kwani kama ambavyo hamnipendi hata Mimi hujikuta naanza Kutowapenda vile vile sawa?

Nimemaliza.
 

Wewe unafikiri mambo ya Forojo Ganze madogo.
 
Isiwe ikawa ni kumlainisha ili waendelee kupiga kwani hii timu yake haina jema kabisa kwa Tz inataka kuwa kama yaeyale ya awamu yake ya mikataba michafu!
 
Kwa bahati mbaya, mm hua simkariri mtu yn kama tukiznguana kwenye uzi flan hua napotezea huko huko siwezi kumkumbuka huyo mtu ad kwenye uzi mwngn
 
PhD ya heshima, ........ kwa sababu hizo............ Mimi niko pale, heri mimi sijasema
 
 

Attachments

  • 2F4D8175-2B26-4AA2-85C9-2DEA2F8C0DA8.jpeg
    47.2 KB · Views: 5
Chuo kinatunuku ila Mkuu wachuo anatunuku kwaniaba. Ndio maana huanza na neno "kwamamlama niliyokabidhiwa............"

Hata ukiwa kitaa utajitambulisha kuwa unashahada toka chuo Fulani na sio kutoka Kwa mkuu wa chuo aitwae mtu Fulani.
 
Kama huyu alipata... wengine wakikosa itakua ni aibu ya Karne...Nashangaa Mkapa alikosakosa vipi hii AWARD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…