Dkt. James Mataragio ateuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati

Wasira aeanza kua mkuu wa mkoa wa Mara mwaka 1971, leo ni miaka 53 bado ni mtumishi wa umma.
Umeona sasa kasheshe hiyo?

Huyu Mzee ataendelea kuchukua balón Dior mpaka pale anapoamua kustaafu mwenyewe
 
Tatizo la nchi yetu wanasiasa ni vigumu kufanya mambo mengine nje ya siasa.
Wakiachwa wanakuwa wasumbufu kwa serikali. Nchi nyingine watu wakitenguliwa wanaweza kuandika vitabu, kuwa wachambuzi na kufanya mambo mengine mengi binafsi.
 
Yaani Wanazungushwa wale wale walioshindwa
Ahahahahaha! Ila haushangai kwa Chadema kubaki na Mwenyekiti Taifa miaka yote tangu 2002! Ahahahahaha! Na nasikia mmeanzisha mpango wa kutengeneza sanamu lake kwamba hata Mungu akimpenda zaidi, basi sanamu lake libaki kama Mwenyekiti Taifa wa Chadema! Ahahahahaha!!!
 

Alitolewa ukurugenzi TPDC akawekwa pembeni kupangiwa kazi nyingine miezi kadhaa iliyopita...
Ss kama n mvurigaj y asitolewe kbsa... Yaan they want to eat bread wenyewe tu na sio kuweka wengne wapya waone mabadiliko.. naamin Kuna members wengine ambao hawajapata nafas ya kutumikia nchi lkn wakipewa chance watafanya mabadiliko bt hawataki... Au they think kuleta member mpya ita-release issues zao za under capert
 
Nje ya mada
 
Mbutuka amebutuka baada ya kubutuliwa
 
Hayo ndo majibu ya Mama Kizimkazi dhidi ya uhaba wa umeme?

Aisee
 
Kwa wanaomfahamu Dr. Mataragio watakubaliana nami kwamba ataitendea haki nafasi hiyo kutokana na ujuzi alionao katika sekta ya nishati. Kila la kheri Dr.
Anastahili kustaafu bwana tangu nimemsikia mimi nikiwa kijana mpaka nimezeeka jamaa yumo tu! Mh. Rais sasa ni zamu yangu uniteue sasa na mimi nile mema ya nchi hapo kwa muda mfupi!
 
Ccm ovyo sana, mabwawa yamejaa, jua kali tunalo, gesi na makaa wanauza nje, wanaanza kutafuta umeme wa geothermal
 
Ss akiingia huy mwngne ndio umeme hautakatka?
Mwingine nani acheni utetezi wa kijinga enzi zile za mkono wa Chuma TANESCO walikua tumbo joto hawakua wakikata umeme hata KIDOGO hadi tukasahau suala la umeme kukatika yaan hawa wanahitaji mtu mwenye karba hio mtu wa kuwaendesha kibabe kibabe tu undava undava ukizingua unapigwa chini ndio wananyooka ukiondoa wa kwanza akiingia mwingine akazingua ukimuondoa akiingia mwingine akazingua ukimuondoa kuna mmoja ukimweka lazima atagundua wapi kuna tobo na kuliziba mara moja Ila hawa wahuni wame-relax kuna tobo alafu wame-relax tu hawalizibi sababu wanajua hawana mtu wa kuwatia tumbo joto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…