Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Hiyo itakuwa aibu ya mwaka
Kuna kila dalili hata NEC fomu zake wakishapokea za CCM basi ofisi inafungwa na kila anayerudisha fomu mkurugenzi wa NEC hatakuwepo ofisini
 
Umekwisha waeleza. Kama wana akili warejeshe siku hiyo hiyo na muda huo huo wa CCM atakaporejesha.
Kuna kila dalili hata NEC fomu zake wakishapokea za CCM basi ofisi inafungwa na kila anayerudisha fomu mkurugenzi wa NEC hatakuwepo ofisini
 
Na ataenda lini TLP kuchukua fomu ya kuomba uteuzi? Maana TLP walishampitisha.
 
Nataka kusema hivi WB imeitaja TZ kuwa lower middle income nation sawa na KENYA kwa Sasa...

Mpaka JPM atakapoondoka tutakuwa UPPER MIDDLE INCOME zaidi ya Kenya aaamin,

Nakwambieje,hebu fikiria mh.Lowassa angeshinda URAIS,

TUNGEKUWA HAPA KWA WB?
Ukurasa wa wavuti haupatikani

Ukurasa wa wavuti ulio kwenye Kijana atunga Wimbo kwa ajili ya CHADEMA - YouTube haukuweza kupakiwa kwa sababu:
 
Kwanini kuna tofauti kubwa hivyo ya no ya wadhamini mikoa mingine elfu 60, 80, mpaka kilo pengine buku 5 nk?
 
Mbona mara kadhaa amelalamika hadharani kuwa kazi ya urais ni ngumu kama ingewezekana akae miaka miwili angeondoka sasa imekuwaje tena anarudia kutaka kazi ngumu anayo ilalamikia mara kwa mara?
 
Chama Cha Mazingaombwe
Mazingaombwe alitufundisha mbowe pale alipomtukana LOWASSA kuwa ni fisadi...halafu akamuona ASSET ya kumsafisha agombee URAIS huku AKIBADILISHA GIA ANGANI....
 
Mbona mara kadhaa amelalamika hadharani kuwa kazi ya urais ni ngumu kama ingewezekana akae miaka miwili angeondoka sasa imekuwaje tena anarudia kutaka kazi ngumu anayo ilalamikia mara kwa mara?
Kazi ya uenyekiti mbowe ni ngumu lakini bado TUNAMUAMINI kwa ule uwezo wake akae tu miaka 30 ijayo!!
 
Deal Done!!!
Nimuone Mtu Mwingine Anampiga Aliyevaa Kijani
Ataona Cha Mtema Kuni!!!
 
Eti mtu anasema magufuli hajui siasa....mtu kaingia serikalini na kuwa naibu waziri pamoja na lukuvi miaka MINGI kabla hata ya mtoto wa mkulima mh Pinda....
 
Back
Top Bottom