Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

CCM moto ni mkali sana.

Hakuna mwenye ubavu wa kuprint fomu zaidi ya 1 kwenye nafasi ya Urais ndani ya CCM...

Hakuna mwenye uwezo na ubavu wa kuchukua fomu No 2...

Na hakuna mwenye nia ya kuwania Urais ukiacha jembe , Rais JPM

Ambaye hajipendi afanye hivyo..

Kelele za Tweeter hazinaga msaada.
Dikteta wa chattle huyo endeleeni kumfagilia tu hamjui mnatengeneza nini nchi hii na mtaathirika vipi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Siku hizi Radi hazipigi sababu zinaogopa Taa za barabarani. Kila kona kuna Taa za barabarani siku hizi hadi kule sumbawanga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nduki.....
 
Moja ya uongozi wa hovyo kuwahi kutokea, uzalilishaji wa wanawake, uzalilishaji wa Viongozi akiwa anawatumbua( mfano kulitangazia Taifa juu ya mteule wake kutembea na wake za watu), kauli mbaya na mbovu Kama, " serikali haina shamba",kutothamini maisha ya raia wake, mfano utekaji na wasiojulikana, majivuno na chuki za waziwazi kwa wapinzani wake na uminywaji na ukandamizwaji wa haki za kibinadu, Uhuru wa maoni na vyombo vya habari.

Hajali maafa yakitokea kwa wananchi wake, mfano Bukoba enzi za tetemeko, nakubali kukosolewa ukijaribu kumkosoa unapotezwa ama kubambikiwa kezi zisizo na dhamana na madawa ya kulevya, kuhalalisha uozo bungeni na kuwafanya wanchi wawe na maisha magumu.
 
Asijimwambafai kwani kabla yake inchi ilikuwa mikononi mwa Nani? Leo hii hakubali upinzani hata ndani ya chama chenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kawageuza makolo mpo mnang'aa mimacho tu.
Kwa kuwa tutakufa ndio tusipange mipango,ndio tusiwe na matumaini,ndio TUSINYOOSHE PASI NGUO ZETU ZA kuvaa kesho KAZINI,NDIO TUSISOGELEANE NA WAKE ZETU ili tuzaane?!!!
 
Mi
Angefanya hata robo ya aliyofanya JK mayowe yangekuwa hayatoshi.
Mzee mbona wenzio walifanya makubwa sana lakini hawakuwa na kelele?, wewe hata stahiki za wafanyakazi zilizoko kimikataba ya kazi na kisheria zimekushinda hayo makubwa makubwa gani?
Mimi sitaki makuu Mkuu, naunga mkono juhudi nisije pimwa mkojo!!!
 
Kwanini Mkapa atake Tume huru kama anaamini uchaguzi ni huru na wa haki? Kaona kuna tatizo kwenye chaguzi ndiyo akaamua kusema hadharani tena bila kupindisha.

Hiyo tume huru ya Uchaguzi ndio imekuwa ikiwatangaza Wapinzani toka 95
 
Ni maoni yake sikatai kama maoni yangu ninavyoona tume ya Uchaguzi ni huru
Kwanini Mkapa atake Tume huru kama anaamini uchaguzi ni huru na wa haki? Kaona kuna tatizo kwenye chaguzi ndiyo akaamua kusema hadharani tena bila kupindisha.
 
But who are you as compared to Mkapa who use to be the Chairman of your party and president of this country!? He knows the system in and out.

Ni maoni yake sikatai kama maoni yangu ninavyoona tume ya Uchaguzi ni huru
 
It's my opinions regardless I have no power
But who are you as compared to Mkapa who use to be the Chairman of your party and president of this country!? He knows the system in and out.
 
Back
Top Bottom