Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Jee kuishi miaka 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dikteta wa chattle huyo endeleeni kumfagilia tu hamjui mnatengeneza nini nchi hii na mtaathirika vipi.CCM moto ni mkali sana.
Hakuna mwenye ubavu wa kuprint fomu zaidi ya 1 kwenye nafasi ya Urais ndani ya CCM...
Hakuna mwenye uwezo na ubavu wa kuchukua fomu No 2...
Na hakuna mwenye nia ya kuwania Urais ukiacha jembe , Rais JPM
Ambaye hajipendi afanye hivyo..
Kelele za Tweeter hazinaga msaada.
Angalia wanapoweka tarehe.
Kwa kuwa tutakufa ndio tusipange mipango,ndio tusiwe na matumaini,ndio TUSINYOOSHE PASI NGUO ZETU ZA kuvaa kesho KAZINI,NDIO TUSISOGELEANE NA WAKE ZETU ili tuzaane?!!!
Mimi sitaki makuu Mkuu, naunga mkono juhudi nisije pimwa mkojo!!!Angefanya hata robo ya aliyofanya JK mayowe yangekuwa hayatoshi.
Mzee mbona wenzio walifanya makubwa sana lakini hawakuwa na kelele?, wewe hata stahiki za wafanyakazi zilizoko kimikataba ya kazi na kisheria zimekushinda hayo makubwa makubwa gani?
yani kwamba,,,,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nduki.....
Una matatizo magazeti ya zamani ndo unatuletea?
Hata Mkapa anayetaka uchaguzi huru na wa haki ni wa mtandaoni.
Yani zile Radi siku hizi hazipigi sababu zinaogopa taa za barabarani.yani kwamba,,,,,,
Hiyo tume huru ya Uchaguzi ndio imekuwa ikiwatangaza Wapinzani toka 95
hooo,,,,ntang'amua baadae nikisha shtua ubongo dishi likikaa sawa.Yani zile Radi siku hizi hazipigi sababu zinaogopa taa za barabarani.
Kwanini Mkapa atake Tume huru kama anaamini uchaguzi ni huru na wa haki? Kaona kuna tatizo kwenye chaguzi ndiyo akaamua kusema hadharani tena bila kupindisha.
Ni maoni yake sikatai kama maoni yangu ninavyoona tume ya Uchaguzi ni huru
But who are you as compared to Mkapa who use to be the Chairman of your party and president of this country!? He knows the system in and out.