BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Yes I know that, but Mkapa’s opinion has more weight than your opinion.
It's my opinions regardless I have no power
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's my opinions regardless I have no power
Watanzania wote million 60 mmekufaKwa hiyo Baba ukifa nchi yetu nayo imekufa?
Hutaki ?,huo ndio ukweli,hata wewe unajua"Kwa maoni yangu tumefanya mipango mingi lakini bado mingine hatujaikamilisha na siamini kama atatokea mwingine wa kuikamilisha, hiki ndicho kilichonifanya nichukue fomu, sikutaka kuwa mbinafsi kwa sababu siyo mimi tu ninayestahili kuongoza" - @MagufuliJP
#JPMKurejeshaFomu https://t.co/onDAcse059
Yes I know that, but Mkapa’s opinion has more weight than your opinion.
My concern is! Why now? We have been practicing free and fair elections since 1995
Why this question is rising now under Patriotic Presdent Magufuli, what is the agenda behind!
Puppet leader's are behind this game? Stop that
Wewe pimbi kweli kweli. hata ubalozi wa nyumba kumi hujawahi ila unaona mtu aliewahi kuwa Rais wa nchi hii hajui ya kuwa tume iliyopo sio huru.Ni maoni yake sikatai kama maoni yangu ninavyoona tume ya Uchaguzi ni huru
Reasoning capacity yako ni ndogo sana mamiloo!My concern is! Why now? We have been practicing free and fair elections since 1995
Why this question is rising now under Patriotic Presdent Magufuli, what is the agenda behind!
Puppet leader's are behind this game? Stop that
For the reaction of some people I come across, nadhani watu hawapo; hivyo hakuna sababu ya kujiandaa. The the vomitus he pews is palatable to them. Ni mimi na wewe tu ndio tunapata tabu!Kinachoshangaza tu ni kwa yeye kuendelea kuamini kwamba wanaomsikiliza wanayaelewa na kuyakubali hayo anayoyazungumza.
Hivi hujiandaa cha kusema anapoamua kuzungumza mbele za watu?
our elections are FAKE elections
By James Hadley Chase.The guilty are always afraid!
KididimoKwa tafsiri yangu, inawezekana angependa na wengine wajaze na kurudisha kama yeye! Na ndicho alichokisema:
My take;
Yawezekana hakupendezwa na Sheria iliyopitishwa na chama chetu cha CCM kuwa awe mwenyewe uchaguzi wa 2020.
Huyu si ndo aliyesema " kuna watu wanataka kung'ang'ania nafasi ya uraisi kwanza hamna kazi zingine " Aibu gani ameona sasa?Kwa tafsiri yangu, inawezekana angependa na wengine wajaze na kurudisha kama yeye! Na ndicho alichokisema:
My take;
Yawezekana hakupendezwa na Sheria iliyopitishwa na chama chetu cha CCM kuwa awe mwenyewe uchaguzi wa 2020.
Ile hali niliyoiona imenistua. Hata katibu wake Mkuu alipyaya kwa hoja kuashiria something was decided wrongly!