Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

Uchaguzi 2020 Dkt. John Magufuli amerudisha fomu ya maombi ya kugombea Urais Makao Makuu ya CCM

My concern is! Why now? We have been practicing free and fair elections since 1995

Why this question is rising now under Patriotic Presdent Magufuli, what is the agenda behind!
Puppet leader's are behind this game? Stop that
Yes I know that, but Mkapa’s opinion has more weight than your opinion.
 
Why now? Because our ELECTIONS are not FREE and FAIR, you don’t need a Phd to know that our elections are FAKE elections expecting the same results day in day out and that’s why Mkapa raise his voice to show his disapproval.

My concern is! Why now? We have been practicing free and fair elections since 1995

Why this question is rising now under Patriotic Presdent Magufuli, what is the agenda behind!
Puppet leader's are behind this game? Stop that
 
Ni maoni yake sikatai kama maoni yangu ninavyoona tume ya Uchaguzi ni huru
Wewe pimbi kweli kweli. hata ubalozi wa nyumba kumi hujawahi ila unaona mtu aliewahi kuwa Rais wa nchi hii hajui ya kuwa tume iliyopo sio huru.
 
My concern is! Why now? We have been practicing free and fair elections since 1995

Why this question is rising now under Patriotic Presdent Magufuli, what is the agenda behind!
Puppet leader's are behind this game? Stop that
Reasoning capacity yako ni ndogo sana mamiloo!
 
Kinachoshangaza tu ni kwa yeye kuendelea kuamini kwamba wanaomsikiliza wanayaelewa na kuyakubali hayo anayoyazungumza.

Hivi hujiandaa cha kusema anapoamua kuzungumza mbele za watu?
For the reaction of some people I come across, nadhani watu hawapo; hivyo hakuna sababu ya kujiandaa. The the vomitus he pews is palatable to them. Ni mimi na wewe tu ndio tunapata tabu!
 
our elections are FAKE elections

Fake elections! You can't be serious brother

Near 20% of member of parliaments are elected from Opposition parties,how would you dare calling fake elections

I agree there is a challenge in every single thing in this world but our electoral commission is doing fantastic job
 
Tunafinga wapi?
IMG-20200630-WA0012.jpeg
 
Kwa tafsiri yangu, inawezekana angependa na wengine wajaze na kurudisha kama yeye! Na ndicho alichokisema:

My take;
Yawezekana hakupendezwa na Sheria iliyopitishwa na chama chetu cha CCM kuwa awe mwenyewe uchaguzi wa 2020.
Kididimo
Hakuna cha kuona aibu

Kama ulikuwa humjui Magu, ni kuwa hakuna mtu wa "maigizo" hapa nchini zaidi yake!
 
Kwa tafsiri yangu, inawezekana angependa na wengine wajaze na kurudisha kama yeye! Na ndicho alichokisema:

My take;
Yawezekana hakupendezwa na Sheria iliyopitishwa na chama chetu cha CCM kuwa awe mwenyewe uchaguzi wa 2020.
Huyu si ndo aliyesema " kuna watu wanataka kung'ang'ania nafasi ya uraisi kwanza hamna kazi zingine " Aibu gani ameona sasa?
 
Ile hali niliyoiona imenistua. Hata katibu wake Mkuu alipyaya kwa hoja kuashiria something was decided wrongly!

Anawaambia watulie maana akichaguliwa wote atawagaia vyeo! Kwa hiyo ina maana huko ccm watu huwa wanakuwa wakali ili wapate vyeo! Baadhi ya kauli ya kiwango cha chini sana kutolewa na kiongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom