chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
mashehe na uganga mmetisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kimbembe Mbeya huko, mama kisha kisema.Pole sana kwa aliyekuwa mkurugenzi,iwe fundisho kwa wakurugenzi wengine wenye tabia kama hizo.
Bibi hii ipo sahihi kwenye uislamu, kupata pesa kimazingara aka. pesa za majini? hii siyo shirki kweli?
Money laundering
Miaka 20, maana yake watatumikia theluthi mbili ya miaka yao.
Mantiki hiyo ni kuwa Watatumikia miaka 13 na miezi kadhaa. Kwa kuwa wameshatumikia mwaka na miezi minne basi bado miaka 12 au chini ya hapo.
2023+12, watatoka 2035.
Ila hapo katikati wanaweza kuchomoka kwa msamaha wa Rais.
Kazi imeanzaKuna kimbembe Mbeya huko, mama kisha kisema.
Sio mahakama tena?!Taratibu tu Mama Samia, watakuelewa
Fagio la chuma la Rais Mwinyi? Kuna watu bado wanadai tumehuru, ya nini kama mambo yako swafi kama hivi majambazi wanafungwa?Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na makosa ya uhujumu uchumi.
Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Agost 31, 2023 na Hakimu Seraphin Nsana, katika kesi namba 5/2023 ya uhujumu uchumi, iliyokuwa inawakabili Dk. Pima, aliyekuwa Mweka Hazina wa jiji la Arusha, Mariam Mshana na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji, Innocent Maduhu.
Akisoma hukumu hiyo ya kesi namba 5/2023, mbele ya mahakama hiyo, Hakima Nsana amesema kuwa baada ya kupitia ushahidi wa pande zote mbili, mahakama imewatia hatiani washtakiwa katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa inawakabili.
"Kwa kuzingatia maombi ya mawakili wa upande wa washtakiwa, ikiwemo kutokuwa na rekodi ya makosa ya nyuma, utegemezi wa familia na ushirikiano mlioutoa katika kipindi chote cha uendeshaji wa kesi hii, mahakama inawapa adhabu ya kutumikia miaka 20 jela huku miezi 14 mliokuwa kizuizini ukizingatiwa," amesema
Mbali na hilo, washtakiwa wana haki na nafasi ya kukata rufaa katika Mahakama Kuu endapo hawajaridhika na hukumu hiyo.
Mwananchi
Halafu hizi du ova zako zinaboa hazikupi umaarufu jamiiforum mwanzo nilikuwa nakuona wa maana mtoto wa mjini ila umezidisha duova hadi unaboa maana huna constructive contribution yoyote ile kwasasa otherwise umaarufu umekufikisha kwenye Peter Principal huna jipya.Duh
Ova
Duh!...Ila Ccm wanaweza kumpa tu cheo hata kama akikosa ubunge.Mzee wa Kino ni kwamba huyo jamaa alikuwa kwenye inner circle ya JPM. Kiburi chake sio poa. Kwa Afrika lazima utawala mpya unapoingia madarakani ishughulikie baadhi ya watu. Hata Gambo bungeni harudi. Yule Gambo alishawahi waweka ndani watu waliokuwa wamejichanga kwenda kupeleka rambirambi kwenye msiba wa watoto wa Lucky Vicent. Aliweka utaratibu kuwa rambirambi zote zipitie kwake. Na katika aliowatia ndani kwa sasa baadhi ni vigogo wa awamu ya 6.
Umeniita?Tatizo nini?Mnazidi kutucheka tu. Yani wote watatu???
FaizaFoxy The Boss Mufti kuku The Infinity adriz Covax Kikwajuni One
Hao wapo kwenye deep state mkuu. Hawagusiki kabisa.Wezi wa mabilioni akina mwigulu, riz nk hawaguswi
Mama samia shkamoo 😊Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwengine kwa faida yangu.
Wacha waisome namba,wamezidi wiziKuna kimbembe Mbeya huko, mama kisha kisema.
Kwenye siasa lolote linawezekana. Uliwahi kuota CHADEMA wangemteua mtuhumiwa wao mkuu wa ufisadi kuwa mgombea wao wa urais?Duh!...Ila Ccm wanaweza kumpa tu cheo hata kama akikosa ubunge.
Jomba mbona unalialia sana? Hizo Ova zinakupunguzia nini kwenye maisha yako?Halafu hizi du ova zako zinaboa hazikupi umaarufu jamiiforum mwanzo nilikuwa nakuona wa maana mtoto wa mjini ila umezidisha duova hadi unaboa maana huna constructive contribution yoyote ile kwasasa otherwise umaarufu umekufikisha kwenye Peter Principal huna jipya.