Dkt. Joseph Kasheku Musukuma: Napitia post za wanaonibeza mitandaoni, kuanzia Ijumaa nitaanza kuwajibu

Watanzania kwa kununua vyeti .tunashindana na Wanaigeria
 
Members wa JF baadhi mmegeuka bullies and demigods!!

Kwamba wewe ndio unakadiria nani ana haki ya kutoa hoja zake JF na nani hana?!? Acha kutisha watu, kamtishe mkeo na wanao!

Hongera sana King Dr. J.K Msukuma (Mb)
Msukuma wako HANA ubavu wa kupimana na wana JF humu mtandaoni!
Na hawezi tetea huo wadhifa wa Pubic hair Dresser(PhD)
 
Yy mwenyw alikuwa ana cheti fek
 
Wivu wa mafanikio Au ngekewa ya Mtu ni upumbavu kiakili
 
MaCCM akili zao hazina akili.. mchawi mchawi tu. Nini hiki sasa..

View attachment 2037053
Huyu jamaa anadhani kuwa digrii ni kuvaa joho hilo, ambalo hata hajui kulivaa; ile hood ambayo ndiyo hivikwa na profesa anayekuwa anatunuku digrii hiyo limewekwa begani kama taulo, au huenda hakupewa hiyo hood kabisa, waliangalia marangirangi kwenye kanzu tu.
 
India hizo ni nyingi hats wavuta mkokoteni akiwapendeza anapewa.
 
Kuna Mambo mtu unayaacha yapite TU coz hayana impact Wala hayaathiri chochote ktk maisha binafsi.

By the way Sasa tusubiri tuone jinsi ataisaidia jamii .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…