Dkt. Kahyoza: Magufuli alifanya makosa makubwa kuhamishia Serikali Dodoma, gharama zimekuwa mara mbili

Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.

Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Wakati wote Unapofanya Uamuzi wa kudumu ni lazima uzingatie sababu za kudumu.

Je, Nini hasa sababu za awali awali kabisa zilizosababisha kuwaza kuhamishia makao makuu ya nchi mjini Dodoma badala ya Dsm??
Je, sababu hizo bado zipo na bado zitaendelea kudumu miaka yote au hazipo??
 
Angekuwa na maana kama angesema serikali ya ccm ilifanya makosa makubwa sana kuteua dodoma kama makao makuu ya nchi. Maana kama ni kuhamia ilikuwa ni lazima waamie haijalishi ni awamu gani.

Magufuli angekuwa amefanya makosa kuhamishia serikali dodoma endapo kama mpango huo usingekuwepo tangu awali.
Kweli kabisa ni mnaa huyu dokta.
 
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.

Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Dr kahyoza ni nani mpaka ampinge baba yetu magufuli amuache mzee wetu apumzike
 
Kulikuwa hakuna sababu ya maana ya kuendelea kuwa na ulazima wa kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma.
Miaka ijayo serikali itarudi mazima Dar achana na hawa wa sasa wanaoingia na kutoka leo wapo Dar kesho wapo Dodoma ni kama wanafanya kiuoga uoga,nani akae Dodoma mji vumbi tupu! Watu wenye akili timamu mnateketeza mabilioni ya fedha kwa ajili ya kumfurahisha mzimu unaoitwa Nyerere maana ndiyo ilikuwa sababu yake hiyo ,ooh Nyerere kasema!
 
Mkuu heshima kwako. Aachwi mtu. Yani magu katuweka pabaya hadi kutufanya tukufuru na kumtendea Mungu mabaya kukaa meza moja na shetani kujadiliana jinsi atakuwa extradited back to the world to face all the atrocities he committed against Tanzanians from murder, rape, extortion, homicide, terror, robbery, theft, banditry, fraud, corruption, udultry, gossip/backbiting, witchcraft, fabrication name them all.

Etwege johnthebaptist
Heshima ikurudie na wewe mkuu.

Huna unaloweza kuthibitisha pasina shaka hata tuhuma nusu ya unayoyasema, unaongozwa na ubinafsi na ulafi kwenye kujenga chuki dhidi ya Magufuli na utakuwa ni uendawazimu wa hali ya juu ukidhani au hata kupenda haya yanayoendelea sasa!

Itoshe kusema, kwenye mjadala huu, pg 1 mpaka pg 3, nimeona ni jinsi gani watu wamemuelewa zaidi Magu na kumpuuza PhD holder kwa upuuzi aliouongea...na kwa hakika ndio zile zile PhD wanazozipata kwa safari za ovyo....PhD ya usafiri wa Anga; bure kabisa!
 
Kulikuwa hakuna sababu ya maana ya kuendelea kuwa na ulazima wa kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma.
Miaka ijayo serikali itarudi mazima Dar achana na hawa wa sasa wanaoingia na kutoka leo wapo Dar kesho wapo Dodoma ni kama wanafanya kiuoga uoga,nani akae Dodoma mji vumbi tupu! Watu wenye akili tumamu mnateketeza hela kwa ajili ya kumfurahisha mzimu unaoitwa Nyerere maana ndiyo ilikuwa sababu yake hiyo ,ooh Nyerere kasema!
Sijui kama Elimu ni neno sahihi hapa kuonesha jinsi tunavyoshindwa kuwa watu miongoni mwa binadamu!

"nani akae Dodoma mji vumbi tupu!"

Ndio hoja yako ilipolalia?

Watu kuchwa kutwa wanashinda angani kwenda falme za kiarabu siku hizi....umeshawahi kujiuliza kama Dodoma imewahi kuwa JANGWA kuliko jangwa lenyewe huko uarabuni?

Unadhani walilikimbia vumbi ndio maana leo nyie mnakimbilia huko?
 
Nipe sababu moja tu ya maana ya kulazimisha kuhamisha makao makuu ya nchi baada ya kushindwa kutekelezwa kwa miaka zaidi ya 40 yaani umuhimu wake mkubwa hasa ni nini?
 
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.

Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Huyo Dr Kahyoza ndio midokta mipuuzi ambayo hayafikirii mbali somi gani hili linafikiria kwa urefu wa pua. Kuhamisha mji kuupeleka makao Dodoma wenge lake kutulia linaweza kuchukua hata miaka 50.

But ni lazima mabadikiko yawepo. Hali ikitulia sheria zikitungwa vizuri ndio mtaanza kuona faida. Haiwezekani kila kitu kiwe Dar. Lazima miji mingine ipewe fursa ya kukua.

Pia vile vile hata wenzetu wazungu wana miji ya kibiashara. Na miji ya serekali mf Newyork na Washington DC

Misomi ya Tanzania mingi haina akili kama huyu
 
Ikiwa ofisi iko DODOMA, huku Dar wanafuata nini? Wakae huko huko tu. Ikulu iko huko, Bunge huko, wanakosa Banki Kuu tu na upepo wa baharini.
 
Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.

Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Huy Kayoza ndiye bure kabisa. Uamuzi wa kwenda Dodoma haukufanywa na Magufuli, yeye alitekeleza tu. Viongozi kutokutumia muda wao Dodoma ni makosa yao wenyewe yanayohitaji kidhibitiwa. Nigeria waliamua kuhamisha kutoka Lagos kwenda Abuja baada ya sisi kuwa tumeshaamua kwenda Dodoma, leo hii Captial ya Nigeria ni Abuja, na wala viongozi hawana mchecheto wa kwenda Lagos tena
 
Back
Top Bottom