Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Walifanya akiwepo na hakuna alichofanya.Unafikiri Magu angekuwepo wangefanya hayo wanayoyafanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifanya akiwepo na hakuna alichofanya.Unafikiri Magu angekuwepo wangefanya hayo wanayoyafanya?
Wakati wote Unapofanya Uamuzi wa kudumu ni lazima uzingatie sababu za kudumu.Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Kipindi hicho walifanya kwa kujificha sana ,lkn saiv wanajiamulia tuWalifanya akiwepo na hakuna alichofanya.
Katika hili mama angekuwa mkali kidogo mbona wangeacha saiv ameamua kunyamaza nao ndo furaha yao.Si mama yao huyu anawalegezea macho utasema yuko na Lulu
Hamna kitu pale.. ni biashara tu chukua chako mapema kila mtu afe na chakeKatika hili mama angekuwa mkali kidogo mbona wangeacha saiv ameamua kunyamaza nao ndo furaha yao.
Mkuu hii hoja yako ni Ndio.Wabeba jeneza hawataelewa, huduma zile zile, Dar na Dom, lakini unatumia trilions kuhamisha makao makuu as if kuna dharura
Kweli kabisa ni mnaa huyu dokta.Angekuwa na maana kama angesema serikali ya ccm ilifanya makosa makubwa sana kuteua dodoma kama makao makuu ya nchi. Maana kama ni kuhamia ilikuwa ni lazima waamie haijalishi ni awamu gani.
Magufuli angekuwa amefanya makosa kuhamishia serikali dodoma endapo kama mpango huo usingekuwepo tangu awali.
Dr kahyoza ni nani mpaka ampinge baba yetu magufuli amuache mzee wetu apumzikeMtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Watajua wenyewe na mioyo yao sie mashuhuda tu wa haya mambo yao ila ukweli wanachofanya sio afya kwa taifa.Hamna kitu pale.. ni biashara tu chukua chako mapema kila mtu afe na chake
Heshima ikurudie na wewe mkuu.Mkuu heshima kwako. Aachwi mtu. Yani magu katuweka pabaya hadi kutufanya tukufuru na kumtendea Mungu mabaya kukaa meza moja na shetani kujadiliana jinsi atakuwa extradited back to the world to face all the atrocities he committed against Tanzanians from murder, rape, extortion, homicide, terror, robbery, theft, banditry, fraud, corruption, udultry, gossip/backbiting, witchcraft, fabrication name them all.
Etwege johnthebaptist
Sijui kama Elimu ni neno sahihi hapa kuonesha jinsi tunavyoshindwa kuwa watu miongoni mwa binadamu!Kulikuwa hakuna sababu ya maana ya kuendelea kuwa na ulazima wa kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma.
Miaka ijayo serikali itarudi mazima Dar achana na hawa wa sasa wanaoingia na kutoka leo wapo Dar kesho wapo Dodoma ni kama wanafanya kiuoga uoga,nani akae Dodoma mji vumbi tupu! Watu wenye akili tumamu mnateketeza hela kwa ajili ya kumfurahisha mzimu unaoitwa Nyerere maana ndiyo ilikuwa sababu yake hiyo ,ooh Nyerere kasema!
Nipe sababu moja tu ya maana ya kulazimisha kuhamisha makao makuu ya nchi baada ya kushindwa kutekelezwa kwa miaka zaidi ya 40 yaani umuhimu wake mkubwa hasa ni nini?Sijui kama Elimu ni neno sahihi hapa kuonesha jinsi tunavyoshindwa kuwa watu miongoni mwa binadamu!
"nani akae Dodoma mji vumbi tupu!"
Ndio hoja yako ilipolalia?
Watu kuchwa kutwa wanashinda angani kwenda falme za kiarabu siku hizi....umeshawahi kujiuliza kama Dodoma imewahi kuwa JANGWA kuliko jangwa lenyewe huko uarabuni?
Unadhani walilikimbia vumbi ndio maana leo nyie mnakimbilia huko?
Huyo Dr Kahyoza ndio midokta mipuuzi ambayo hayafikirii mbali somi gani hili linafikiria kwa urefu wa pua. Kuhamisha mji kuupeleka makao Dodoma wenge lake kutulia linaweza kuchukua hata miaka 50.Mtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.
Ametolea mfano Safari za Viongozi na Watumishi ambao mara kwa mara wanaenda Dar au Dodoma kwa Ndege na wakati huo Magari yanasafiri kuwafuata Airport na kuwapeleka kwenye shughuli zao na baadaye wanarejea kwa Ndege tena huku magari yakiwafuata kwa njia ya Barabara.
View attachment 3017571
Pia Soma: Ilikuwa ni jambo jema Serikali kuhamia Dodoma maana Kivukoni na Posta ni Bandarini, Ashukuriwe Shujaa Magufuli!
Huy Kayoza ndiye bure kabisa. Uamuzi wa kwenda Dodoma haukufanywa na Magufuli, yeye alitekeleza tu. Viongozi kutokutumia muda wao Dodoma ni makosa yao wenyewe yanayohitaji kidhibitiwa. Nigeria waliamua kuhamisha kutoka Lagos kwenda Abuja baada ya sisi kuwa tumeshaamua kwenda Dodoma, leo hii Captial ya Nigeria ni Abuja, na wala viongozi hawana mchecheto wa kwenda Lagos tenaMtaalamu wa masuala ya Uchumi, Dr. Bravious Kahyoza amesema uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma ulikuwa ni kosa kubwa kwasababu umeongeza gharama zaidi za uendeshaji ikiwemo kutumia vibaya fedha za Walipa Kodi.